ex wake

  1. tang'ana

    Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

    Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta. Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa...
  2. H

    Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    wadau huyu Dada tumshauri nn? Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa! Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye...
  3. Pang Fung Mi

    Ma EX wake hawanihusu muhimu kwangu ni nafasi na muda wa kutosha wa kuwa naye

    Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali, muhimu ni nafasi na muda wa kutosha wa kumnyandua basi. Hii hali imeongeza utamu na ladha wakati wa...
  4. Moronight walker

    Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

    Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule. Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa. Nguo za zamani hazitupwi. Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳. Mshikamawili moja umponyoka.
  5. Moronight walker

    Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  6. M

    Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

    Aisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe amletee ex wake angalau afurahie tena mapenzi kwa mara ya mwisho kabla hajafariki. Mwanamke huyo...
  7. Isunji dark

    Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Wakuu kwanza nikili nimetumia ID nyingine tofauti na ninayotumia. Kuna dada ambaye nilikutana nae na tukawa katika mahusiano kumbe kipindi nimetoka kumtafuta alikua ameachana na huyo ex wake. Sasa katika mahusiano yetu tulipendana sana yeye alionyesha kunijali japo sijui rohoni alikua...
  8. S

    Huwa unajisikiaje unapokuwa umetoka na mpenzi wako halafu mkakutana na ex wake uso kwa uso?

    TAFITI zinaonesha yafuatayo: Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao. Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule? Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute jamaa ndiyo alimfundisha. Eeh? Kwahiyo mm natafuna makombo ya jamaa?. Jamaa huyu ananionaje mimi...
  9. Infinite_Kiumeni

    Mwanaume, tambua sababu 5 za mwanamke kufanya mapenzi na X wake wakati mpo kwenye mahusiano

    Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo. Ila kama mwanamke uliyenaye ana rekodi nzuri ya kudanga, na hajabadilika basi ukae tayari...
  10. BARD AI

    Shakira avunja rekodi Youtube kwa wimbo aliomchana Ex wake (Gerard Pique)

    Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube. Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63 ndani ya saa 24, na kuifanya kuwa wimbo wa Kilatini uliotazamwa zaidi katika kipindi hicho. Shakira...
  11. mambo ya nyakati

    Nahisi bado anawasiliana na mpenzi wake wa zamani

    Ushauri, Juzi nipo na mpenzi wangu tumekaa tunapata kinywaji, harakati za hapa na pale nikahisi jambo kwenye simu yake. Kumpokonya simu, simu ikaleta password kila file, ila mwanzo haikuwa na password kwenye mafile. katika ugomvi wa hapa na pale akasusa, kaacha simu yake akaondoka kwao, me...
Back
Top Bottom