Habari wakuu,
Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao.
Yeye alinitangulia kiumri na kimaisha pia, Kwani alinizidi miaka minne na pia wakati tunaanza mahusiano mimi nilikuwa bado tegemezi...