HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao
1,upatikanaji
2,usafirishaji
3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara
4, mtaji wa chini kiasi gani
5,namna ya kutafuta soko
Karibia kila kitu kwenye ulimwengu kimeundwa na na Matter ikiwa kwenye umbo/aina tofauti kama Solids,liquids,gasses na plasma hizi aina aina za matter zimeundwa na particles ndogo {subatomic particles} inayoipa matter uzito{mass} na ujazo{volume} yake, hizi partcles inajumuisha protons na...
BARUA YA 53 KWA ULIMWENGU
Maisha kutokuwa na hakika na mabadiliko havipingani, kwakua vyote vipo ili kukamilisha jambo fulani ndani ya Maisha ya kiumbe hai, katika dhana ya kuwepo katika ulimwengu
Hii ndiyo hasa hujibu swali hili, kwanini maisha yanaleta mateso , mateso ya maisha ni somo...
Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana
Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana
Kilicho Nichanganya ni Mtumaji .
Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa
Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link
Kutoka Sehemu...
Dalili za mtu mwenye laana hizi hapa.
Una wazazi Ila hauwajali ,wapo wanateseka Ila wewe umebarikiwa uchumi mzuri Ila unakausha this is curse.
Unatumia nguvu kubwa kupata riziki hasa ya kula this is curse .
Ukipata hela haukumbuki kufanya maendeleo this is curse .
Una miaka mingi Ila akili...
Napal cactus ni mmea wenye asili ya jangwani hasa unapatikana maeneo ya Afrika, Amerika na Asia. Kutokana faida zake na muingiliano wa watu imefanya kusamba maeneo mbalimbali duniani kote. Nopal imekuwa chakula pendwa zaidi Mexico, Asia na baadhi ya maeneo ya Afrika magharibi. hutumika zaidi...
Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).🇹🇿
Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili.
Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube)
Namna ya pili ni ile ambayo naweza kuita kujiongeza au niite monetization.
A. Kulipwa na platform husika...
Picha kwa hisani ya Google.
Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
Habari wanajamvi!
Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana.
Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents.
Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within...
Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress
Kujua makadirio Ujenzi inakusudia
kujua unahitaji nguvu kiasi gani
kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa...
unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
Habari za wakti huu;
Katika shughuli zangu huwa nakutana na changamoto ya watu kutokutambua aina ya kampuni wanayotaka kuanzisha hii hupelekea watu ambao lengo lao ni kuanzisha kampuni ambayo ni Public kujikuta wakianzisha kampuni ambayo ni Private n.k.
HIvyo basi leo nimeona niwaletee mjadala...
Habari za wakti huu;
Ni matumaini yangu kwamb mnaendelea salama na Shughuli zenu za upambanaji na utafutaji wa Riziki;
Leo nimeona nilete mada ambayo kwa wajasiriamali wengine inaweza kuwa na faida sana na kuwasaidi katika kufanya mipango kuhusu maisha yao ya sasa na ya baada.
Leo nataka...
Habari zenu waungwana.....
Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama njia ya kuleta "utaratibu" au "mabadiliko" ambayo ni yenye manufaa kwa wale walio katika madaraka...
Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi…
1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.