Si mara ya kwanza kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuzua manung'uniko na hata ushauri kuwa ima uvunjwe au urekebishwe. Wapo, hasa Wanzibri, wanaoona kama Zanzibar imemezwa na Bara.
Pia, wapo, hasa watu toka Bara, kuwa Zanzibar inapendelewa. Wanadhani ilipaswa kuwa kama si wilaya basi mkoa...