faida na hasara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamgomoli

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

    Ni ndoto za wanaume wengi kuoa mwanamke mrembo na mwenye kipato ili wasaidiane kutengeneza familia bora ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba nzuri, kusomesha watoto kwenye shule bora n.k Hapo ndipo baadhi ya vijana hufikiria kuoa wanawake wasomi wenzao wenye kazi nzuri. Lakini kabla ya kufikiria...
  2. Surya

    Ngono (kuzini), faida na hasara zake

    Nitajitahidi nieleze hili kwa kifupi nisiwachoshe, naomba wakosoaji mje na ushahidi usije kukosoa hapa kwa vijimaneno ulivyobebeshwa na katekista au shehe wako huko bila kusoma mwenyewe. Nianze kwa andiko la Bwana wetu Yesu kristo alipoulizwa kuhusu kuzini. Mathayo 5:27-28 [27]Mmesikia kwamba...
  3. Lycaon pictus

    Ni zipi faida na hasara za progressive web app(PWA)?

    Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana. PWA ni websites ambazo zinafanya kazi kama app za kawaida. Unaweza weka icon kwenye home screen ka ya app zingine...
  4. Kichwamoto

    Wale tunajiuliza nyakati za vikao nitoe maoni au nikae kimya na kujiuliza faida na hasara ya kila option tujuane

    Asalaam wana JF! Binafsi huwa napata wakati mgumu kwenye vikao maeneo mbali mbali hasa kwa tahadhari ya kupunguza negative people. Huwa natafakari faida na hasara za kuchangia ama kutochangia maoni kuhusu jambo husika. Natulia kimya nafuatilia kwa umakini nachukua notes ila natumia code za...
  5. M

    Zipi FAIDA na HASARA za kukaa mbali na unakofanyia kazi?

    Habarini wandugu... Kuna jamaa anakaa mbali sana na anapo fanyia shughuli zake. Yule jamaa kapanga Kivule halafu shughuli zake anafanyia Bunju(kwa wenyeji wa DSM wanaelewa shughuli yake ulovyo huo umbali) nadhani 23 km na kidogo inaweza fika. Sasa nikashindwa mshauri maana sababu yake kubwa...
  6. lee Vladimir cleef

    NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

    Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait. Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait. Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
  7. Lycaon pictus

    Naomba kuelimishwa kuhusu metaverse, faida na hasara zake

    Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa? Ni nini faida na hasara za hii kitu?
  8. Masokotz

    Faida na hasara za kufanya biashara kwa kutumia Cheki(Check,Cheque)

    Wajasiriamali wengi wadogo hufanya biashara kwa kutumia CASH.Akienda kununua mzigo kariakoo anaenda na cash,akaenda kulipa wafanyakazi anaenda na cash.Kila kitu wanatumia Cash.Swali la kujiuliza ni Je ku na faida gani mtu kutumia Check badala ya Cash? Nianze kwa kueleza kidgo check ni...
  9. Sky Eclat

    Kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara

    Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa. Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
  10. M

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  11. Lububi

    Faida na Hasara za DRC kujiunga EAC

    Wadau wapendao Utukufu kwa Mungu juu na AMAN dunian tuangalie mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yatakayotokana na nchi kubwa yenye migogoro ya muda mrefu na siasa ngumu zenye mkono wa kuibiana, na dhulma za walioko nje ya nchi muhanga, itakapopata washirika wa africa masharik wenye...
  12. sky soldier

    Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  13. C

    Faida na hasara za uhamasishaji wa Mwijaku Simba

    Nianze na hasara sababu ni nyingi: *Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu. *Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa *Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka...
  14. SuperImpressor

    Nini faida na hasara ya kujenga kipindi cha mvua?

    Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani. Sasa swali langu ni kama hivyo linavyosomeka hapo juu. Ila mimi binafsi napenda sana ujenzi wa nyumba ufanyike wakati wa kipindi cha mvua...
Back
Top Bottom