faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

    Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU, 🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
  2. NMB ni bank inayopata faida sana kwa sasa, ila huduma zake kwa wateja ni za hovyo sana!

    Unaingia bank ina madirisha matano kwa mfano, ila linalotoa huduma ni moja na wateja ni wengi, basi mnasimamaaa mpaka miguu inauma Unatumia masaa sita kuhudumiwa, hii hapana, tunafanya uchumi wa wengine kuharibika kupitia huduma hizi mbovu NMB rekebisheni hii kitu bhana, mnaumiza watu
  3. M

    Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Habari wana jf, Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.
  4. Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  5. Nini faida za water dispenser?

    Wakuu naombeni kujua faida/umuhimu wa water dispenser Nimekuwa nikiziona Tu. Mtu friji analo na jug la umeme analo Ila bado anataka na water dispenser. Nini umuhimu wa water dispenser?
  6. M

    Mama anafaa atambue kwamba kumnyonyesha mtoto ni jambo lenye kumpatia faida nyingi mtoto

    233. Na wazazi wa kike wanyonyeshe watoto wao miaka miwili kamili, kwa mwenye kutaka kutimiza kunyonyesha. Na ni juu ya mzazi wa kiume kuwapatia chakula chao na nguo kwa mujibu wa ada. Hailazimishwi nafsi ila kwa iliwezalo. Asidhuriwe mzazi wa kike kwa ajili ya mwanawe, na wala mzazi wa kiume...
  7. Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO KWA NINI UPRINT KWETU? WEKA ORDER YAKO LEO HUDUMA ZETU Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing. Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu...
  8. Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

    Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
  9. M

    Ifike muda ujanjaruke na wewe, kataa kufanywa fursa isiyo na faida kwako

    IFIKE MUDA UJANJARUKE NA WEWE KATAA KUFANYWA FURSA ISIYO NA FAIDA KWAKO. 1.Unakubalije kuwa na mtu ambaye kila akikutafuta basi ana shida. 2.Unakubalije kuhusiana na mtu ambaye bila wewe kumtafuta basi mahusiano ndio yanakufa . 3.Unakubalije kuwa na rafiki ambaye anataka umtimizie mambo yake...
  10. G

    Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

    Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN. Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
  11. Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

    Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon) Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
  12. Kawaida Atinga Jimbo la Hai "Mlikuwa na Mtu Asiye na Faida"

    KAWAIDA ATINGA JIMBO LA HAI "MLIKUA NA MTU ASIYE NA FAIDA" Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Kawaida amefika kukagua na kujionea shule mpya ya msingi Saashisha iliyopo wilaya ya Hai iliyojengwa na serikali kwa gharama zaidi ya shilingi milioni 540. Akizungumza baada...
  13. Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  14. Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

    Tuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
  15. Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

    Habari wataalam, Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji. natanguliza shukrani zenu kwangu. Karibuni wataalam.
  16. Niamini..Usitoe Code ya Biashara Yako...!

    Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote! Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee! Soko Limejaa..nikabaki najiuliza Nikatumia umafia sana nikajua ni yule dem na mumewe Nika mbana...
  17. Faida 04 za kijana kuoa ukiwa na miaka 20

    Ukomavu wa utu uzima unaanza mtu akifikisha miaka 20. Utu uzima unaanza akifikisha miaka 13. Kimsingi mwenyezi Mungu hatambui kitu mnachokiita Teenagers/Adolescents au foolishage. Miaka 13~19 ni mtu mzima anayejianaa kuoa akihitimu 20s. Ziko faida nyingi wazazi wakiwaandaa vijana wao kukomaa...
  18. Kuna faida na changamoto zipi ukijenga nyumba ya muundo huu?

    SIO YA MBAO, MUUNDO KAMA HUU ILA TOFALI ZA BLOCK KAMA KAWAIDA
  19. Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

    Kenya wanaonekana wapo vizuri sana upstairs! Wakati jirani zao wakibweteka kwa kuwa na ardhi kubwa na idadi kubwa ya watu, wao na viongozi wao wanachangamkia fursa zilizopo ng'ambo. Kwa jicho la haraka haraka, inaonekana Kenya, Rwanda na Uganda zimeipita mbali sana Tanzania kwa raia wake...
  20. Faida ya mgogoro wa Israel na Palestine kwa Misri

    Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA. Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana. Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…