Habari za Saahizi Wana Jf
Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear .
🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU,
🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
Unaingia bank ina madirisha matano kwa mfano, ila linalotoa huduma ni moja na wateja ni wengi, basi mnasimamaaa mpaka miguu inauma
Unatumia masaa sita kuhudumiwa, hii hapana, tunafanya uchumi wa wengine kuharibika kupitia huduma hizi mbovu
NMB rekebisheni hii kitu bhana, mnaumiza watu
Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga
Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
Wakuu naombeni kujua faida/umuhimu wa water dispenser
Nimekuwa nikiziona Tu.
Mtu friji analo na jug la umeme analo Ila bado anataka na water dispenser.
Nini umuhimu wa water dispenser?
233. Na wazazi wa kike wanyonyeshe watoto wao miaka miwili kamili, kwa mwenye kutaka kutimiza kunyonyesha. Na ni juu ya mzazi wa kiume kuwapatia chakula chao na nguo kwa mujibu wa ada. Hailazimishwi nafsi ila kwa iliwezalo.
Asidhuriwe mzazi wa kike kwa ajili ya mwanawe, na wala mzazi wa kiume...
FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO
KWA NINI UPRINT KWETU?
WEKA ORDER YAKO LEO
HUDUMA ZETU
Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing.
Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu...
Habari zenu!
Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia.
Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
IFIKE MUDA UJANJARUKE NA WEWE KATAA KUFANYWA FURSA ISIYO NA FAIDA KWAKO.
1.Unakubalije kuwa na mtu ambaye kila akikutafuta basi ana shida.
2.Unakubalije kuhusiana na mtu ambaye bila wewe kumtafuta basi mahusiano ndio yanakufa .
3.Unakubalije kuwa na rafiki ambaye anataka umtimizie mambo yake...
Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN.
Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon)
Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
KAWAIDA ATINGA JIMBO LA HAI "MLIKUA NA MTU ASIYE NA FAIDA"
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Kawaida amefika kukagua na kujionea shule mpya ya msingi Saashisha iliyopo wilaya ya Hai iliyojengwa na serikali kwa gharama zaidi ya shilingi milioni 540.
Akizungumza baada...
Igweee!
Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs.
Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience.
Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
Habari wataalam,
Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji.
natanguliza shukrani zenu kwangu.
Karibuni wataalam.
Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa
Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote!
Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee! Soko Limejaa..nikabaki najiuliza
Nikatumia umafia sana nikajua ni yule dem na mumewe
Nika mbana...
Ukomavu wa utu uzima unaanza mtu akifikisha miaka 20. Utu uzima unaanza akifikisha miaka 13. Kimsingi mwenyezi Mungu hatambui kitu mnachokiita Teenagers/Adolescents au foolishage. Miaka 13~19 ni mtu mzima anayejianaa kuoa akihitimu 20s.
Ziko faida nyingi wazazi wakiwaandaa vijana wao kukomaa...
Kenya wanaonekana wapo vizuri sana upstairs! Wakati jirani zao wakibweteka kwa kuwa na ardhi kubwa na idadi kubwa ya watu, wao na viongozi wao wanachangamkia fursa zilizopo ng'ambo.
Kwa jicho la haraka haraka, inaonekana Kenya, Rwanda na Uganda zimeipita mbali sana Tanzania kwa raia wake...
Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA.
Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana.
Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.