Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni watu washali sana wanapenda ugomvi na malumbano hawawezi kaa sehemu kwa amani. Wapo kwenye nyuzi za watu kuharibu na kuchafua hali ya hewa.
Haipiti siku hawajagombana na mtu au kupigwa ban kwa mwezi huwa ni kawaida tu kwao. Hawa kitaalamu wanaitwa zetrovert. Ni wababe wanakuwa na akili nyingi na watu hawawaelewi mara nyingi.
Wanajiamini sana wabishi na wana ufahamu mpana. Hawawezi fumbia macho upuuzi. Wanamchana yeyote yule ambaye atakuwa kinyume na ukweli. Ni wajuaji. Kila uzi wapo na wanazungumza fact hawana rafiki wala adui wa kudumu. Wana facts za kudumu