Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
7,900
Reaction score
18,457
Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT??

Na hili ndilo jibu lake.

Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit.

FAIDA FUND.
1743515063083.jpg


UTT
1743515104213.jpg


Anyway:-
Tuendelee kutafuta hela

#YANGA_BINGWA
#YNWA
 
Mtoa mada yuko sahihi ingawa sio kwa 100%.

Mwekezaji yeyote kabla ya kufanya maamuzi ya kuwekeza, anatakiwa kuangalia gharama za uwekezaji na kiwango cha faida anachoweza kupata.

Bei ya kuuza na kununua vipande ni mojawapo ya taarifa muhimu. Bei zilizoorodheshwa hapo ni bei ya siku ya tangazo. Hiyo ni tofauti na bei ambayo mwekezaji alinunua vipande hivyo. Kwahiyo, bado kuna faida mwekezaji atapata iwapo anawekeza kwa muda mrefu.

Mifuko inayonalenga wawekezaji wa muda mfupi kama liquid inakuwa na bei za kuuza na kununua zinazofanana zaidi kuliko mifuko ya malengo ya muda mrefu.

Kwahiyo, cha msingi ni kupiga hesabu ya kiwango cha faida kwa kila kipande kwa muda unaotarajia kuwekeza na kufanya maamuzi yanayoendana na malengo yako.

Kiujumla, Faida Fund na UTT funds hazina tofauti sana.
 
Jamaa
kokurupuka tu aisee🤣🤣 hajui mifuko inafanyaje kazi
Tanzania ina mutual fund 6 zenye funds zifuatazo.

PRIVATE.
1. Zan Securities
Hawa wana TIMIZA FUND

2. Orbit Securities
Hawa wana INUKA FUND

3. Global Alpha Capital Limited (Alpha Capital)
Hawa wana ALPHA HALAL FUND

4. Sanlam Investment
Hawa wana SANLAM INVESTMENT FUND

GOVERNMENT.
5. Wizara ya Utumishi kupitia kwa Watumishi House Investment (Fund Manager)
Hawa wana FAIDA FUND

6. Wizara ya Fedha kupitia UTT AMIS (Fund Manager) hawa wana ....
Umoja Fund
Wekeza Maisha Fund
Watoto Fund
Jikimu Fund
Liquid Fund
Bond Fund.

TURUDI KWENYE HOJA.
Ukichunguza fund zotee zilizoorodheshwa hapo juu Utagundua kuwa SELLING PRICE na REPURCHASING PRICE ziko sawa isipokuwa UTT tu kwa FUND ZAKE ZOTEEE.

SELLING PRICE Vs REPURCHASING PRICE ni tofauti.

Ina maana kama leo utaamua kuuza Vipande vyako halafu ghafla ukaamua kuvirudisha tena kwenye account yako basi Automatically VINASHUKA THAMANI.

Ila mifuko mengine yoteee ukiamua kuuza kipande halafu ghafla ukabadili maamuzi basi bei uliyouzia vipande vyako hiyo siku ndio bei utakayo inunulia hiyo siku.

😳😳😳😳UMEELEWA?

Kama hautaelewa hii hoja BOSS basi LET ME AGREE TO DISAGREE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mtoa mada yuko sahihi ingawa sio kwa 100%.

Mwekezaji yeyote kabla ya kufanya maamuzi ya kuwekeza, anatakiwa kuangalia gharama za uwekezaji na kiwango cha faida anachoweza kupata.

Bei ya kuuza na kununua vipande ni mojawapo ya taarifa muhimu. Bei zilizoorodheshwa hapo ni bei ya siku ya tangazo. Hiyo ni tofauti na bei ambayo mwekezaji alinunua vipande hivyo. Kwahiyo, bado kuna faida mwekezaji atapata iwapo anawekeza kwa muda mrefu.

Mifuko inayonalenga wawekezaji wa muda mfupi kama liquid inakuwa na bei za kuuza na kununua zinazofanana zaidi kuliko mifuko ya malengo ya muda mrefu.

Kwahiyo, cha msingi ni kupiga hesabu ya kiwango cha faida kwa kila kipande kwa muda unaotarajia kuwekeza na kufanya maamuzi yanayoendana na malengo yako.

Kiujumla, Faida Fund na UTT funds hazina tofauti sana.
Mutual fund bongo kwa mwaka jana wa calendar zime record Return ya 13%
Hivyo hazina utofauti ila mimi mada yangu imeelenga kwenye hoja namba #15.
SELLING PRICE Vs REPURCHASING PRICE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ina maana kama leo utaamua kuuza Vipande vyako halafu ghafla ukaamua kuvirudisha tena kwenye account yako basi Automatically VINASHUKA THAMANI.

Ila mifuko mengine yoteee ukiamua kuuza kipande halafu ghafla ukabadili maamuzi basi bei uliyouzia vipande vyako hiyo siku ndio bei utakayo inunulia hiyo siku.

😳😳😳😳UMEELEWA?
Nilikuwa naona mafoto foto ila sasa nimeelewa.
 
Na liquid,watoto,Wekeza maisha ebu elezea bwana mdogo
Mshua acha kushupaza shingo.
Hapo unayo smartphone hebu download mwenendo wa mfuko wowote wa UTT halafu linganisha na Mfuko wowote niliyoutaja kwenye comment #15

Utakachokutana nacho ni kwamba MIFUKO YOTEE YA UTT AMIS SELLING PRICE NA REPURCHASING PRICE NI TOFAUTI KABISAAAAA KWA FUND ZOTEE ZA UTT.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Unaweza ukasoma na usielimike
Pitia Comment #15

Kwani ukitazama picha ukaangalia selling price Vs Repurchasing price ya UTT ukarudi kwa Faida Fund unaona utofauti gani?

Siku nyengine elewa hoja ndio ujibu madam.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom