Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

Kwa uchumi wetu, na population yetu kuwekeza huko ni kama kupoteza muda tu, tunapopulation inayokuwa kwa kasi sana, watu wanahitaji:
1.Chakula
2.Malazi: Nyumba, vifaa vya ujenzi etc.
3.Usafiri
4.Mavazi
Si tunaona wakina Mo, Bakhresa, wapo kwenye vitu vya kawaida sana but ndo soko letu, mara unga, pipi, biskuti, maandazi etc.Maboti yale, wahindi wapo kwenye Nondo, paints, nyumba za kupangisha etc...
Afrika ndo tuko huko...tuna hiyo fursa kwingine huko ni ku-overstep tu.

Ulaya huko kote kuko saturated, wanajikuta watu wanapesa cha kufanya hawaoni - kila kitu kiko formalized and working kuanzia kilimo mpaka mavazi..ndo wanaenda kudump kwenye investment funds etc...
 
Unaona kama mimi mkuu bora pesa yangu ni risk kuiwekeza kwenye goods hata kama hasara ni nje nje lakini pia faida yake ni kubwa bora pesa yangu iwe kwenye mzunguko wa aina hiyo
 
Mshua acha kushupaza shingo.
Hapo unayo smartphone hebu download mwenendo wa mfuko wowote wa UTT halafu linganisha na Mfuko wowote niliyoutaja kwenye comment #15

Utakachokutana nacho ni kwamba MIFUKO YOTEE YA UTT AMIS SELLING PRICE NA REPURCHASING PRICE NI TOFAUTI KABISAAAAA KWA FUND ZOTEE ZA UTT.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Unaropoka usichokielewa na kuwaongopea wasiojielewa ,umetumwa kupromo kampuni huna lolote
 
Na siwezi kukwambia kwann Umoja Fund kwasababu una Akili Mgando

Unaropoka usichokielewa na kuwaongopea wasiojielewa ,umetumwa kupromo kampuni huna lolote

Na kwa taarifa yako kuanzia Bond mpk Liquid zina Selling and Buying price Sawa acha kuichafua UTT

Sasa braza kumbe una shupaza shingo hata hujui naongelea nini?

Nani kaongelea Buying Price Ndugu ?
😳😳😳😳

Hebu rudia tena kusoma mada yangu na hiyo Comment #15 then Ndio TUNAANZE MJADALA.

NB.
Elewa kwanza mada ndio urudi, kama hutoelewa KAA KIMYA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kijana mwenye miaka 20, kama akiweka 10M kwenye mfuko wenye riba ya 12% kwa mwaka, kwa miaka 40. Atakuwa na kiasi cha shilingi 930.51M akiwa na miaka 60.

Sio rahisi ukaanza na biashara ya mtaji wa 10M ukiwa na miaka 20 alafu uzeeni ukawa na 930M. Biashara zina changamoto nyingi sana.

Nilianza na mil 6 (bidhaa mil 2 , maandalizi ya duka mil 2 na asset za biashara mil 2) kwa biashara moja tu.

Na sasa nina maduka manne yenye thamani kubwa tuuu ya biashara aina 3.

Na nilianza 2020.

Braza biashara tamu sanaa.
Nikipewa miaka 40 siwezi kuwa hapa nilipo, nitakuwa zaidi ya Vunja bei wa sasa.

BIASHARA TAMUU WEEEE

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
‘Mutual Fund’ na ‘Money market Mutual Fund’, operations zao ni tofauti kwa namna fulani, among other things ambayo post yako inajichanganya.
Money market ni general term inayo comprise.

1. Mutual fund
2. Forex
3. Bond
4. Bills
5. Shares
6. ETC

Google is your best friend.
Itumie itakusaidia.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Bado ajaona tatizo lake

Google is Your BEST FRIEND.

Labda yeye utamuelewa

Question:- Is mutual fund a product of money market

Answer:
Yes, a mutal fund is a type of money market that invests in short-term, highly liquid, and low-risk debt securities, like Treasury bills, and is designed for investors seeking a safe and stable investment option.
Here's a more detailed explanation:

Mutual Funds:
Mutual funds are investment companies that pool money from many investors and invest it in a portfolio of securities (like stocks, bonds, or money market instruments).

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwa uchumi wetu, na population yetu kuwekeza huko ni kama kupoteza muda tu, tunapopulation inayokuwa kwa kasi sana, watu wanahitaji:
1.Chakula
2.Malazi: Nyumba, vifaa vya ujenzi etc.
3.Usafiri
4.Mavazi
Si tunaona wakina Mo, Bakhresa, wapo kwenye vitu vya kawaida sana but ndo soko letu, mara unga, pipi, biskuti, maandazi etc.Maboti yale, wahindi wapo kwenye Nondo, paints, nyumba za kupangisha etc...
Afrika ndo tuko huko...tuna hiyo fursa kwingine huko ni ku-overstep tu.

Ulaya huko kote kuko saturated, wanajikuta watu wanapesa cha kufanya hawaoni - kila kitu kiko formalized and working kuanzia kilimo mpaka mavazi..ndo wanaenda kudump kwenye investment funds etc...

Yap Business is better.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Money market ni general term inayo comprise.

1. Mutual fund
2. Forex
3. Bond
4. Bills
5. Shares
6. ETC

Google is your best friend.
Itumie itakusaidia.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Money market (more technical term ‘financial market) ni umberella kubwa sana.

‘Mutual funds’ na ‘money markets mutual funds’ ni sehemu ya za chini kwenye heirarchy ya ‘financial markets’ zipo classified as ‘investment intermediaries’.

One collects money and invests as a group, the other gives investors option where they want to put their money on ‘financial instruments.

Ndio maana kwenye post yako number one unaona ‘mutual fund’ moja inaongelea share value yake; na nyingine Ina financial instrument kadhaa na share values tofauti.

Unajuwa uwa ninapoandikaga kule kwenye jukwaa la siasa ujinga mtupu kwenye post za wachangiaji, wengine udhani huyu jamaa nae kujifanya mjuaji.

Ndio kama wewe the nonsense; hujui hata financial market ni kitu gani. Google imekupa majibu ya ujinga mtupu (to explain how your google answers applys in financial market is a long story which starts on what is an asset).

Kuna mambo mengi kwenye hili jukwaa uwa nasoma hasa mada za uwekezaji unaona huyu mtu amepotoka, ila unaogopa kumpa mwongozo sahihi usije onekana huyu jamaa nae.
 
Sasa braza kumbe una shupaza shingo hata hujui naongelea nini?

Nani kaongelea Buying Price Ndugu ?
😳😳😳😳

Hebu rudia tena kusoma mada yangu na hiyo Comment #15 then Ndio TUNAANZE MJADALA.

NB.
Elewa kwanza mada ndio urudi, kama hutoelewa KAA KIMYA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Endelea kujitoa ufahamu kuwadanganya wenzio
 
Money market (more technical term ‘financial market) ni umberella kubwa sana.

‘Mutual funds’ na ‘money markets mutual funds’ ni sehemu ya za chini kwenye heirarchy ya ‘financial markets’ zipo classified as ‘investment intermediaries’.

One collects money and invests as a group, the other gives investors option where they want to put their money on ‘financial instruments.

Ndio maana kwenye post yako number one unaona ‘mutual fund’ moja inaongelea share value yake; na nyingine Ina financial instrument kadhaa na share values tofauti.

Unajuwa uwa ninapoandikaga kule kwenye jukwaa la siasa ujinga mtupu kwenye post za wachangiaji, wengine udhani huyu jamaa nae kujifanya mjuaji.

Ndio kama wewe the nonsense; hujui hata financial market ni kitu gani inakupa majibu ya ujinga mtupu (to explain how your google in financial market is a long story on what is an asset).

Kuna mambo mengi kwenye hili jukwaa uwa nasoma hasa mada za uwekezaji unaona huyu mtu amepotoka, ila unaogopa kumpa mwongozo sahihi.
Mkuu tuna vijana wasiotaka kuelimika wamezoea kutumika ndo mfano wa huyu hafahamu UTT anaropoka utumbo
 
Back
Top Bottom