Swala la kujizima data kwenye kujitafuta lina faida na hasara zake

Swala la kujizima data kwenye kujitafuta lina faida na hasara zake

Abti

Senior Member
Joined
Feb 27, 2025
Posts
101
Reaction score
183
Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk

Upande wa faida:

Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake akapata wateja akafanya yake.

Kuna wale maitwao mainfluencer wamekula balozi mbali mbali na line za hapa na pale.
Na kuna wale sasa wa upambe nao umewasaidia wengne wamejenga wengine wanaokota nakupata line mbali mbali. Kwa upande wa faida kubwa nikuweza kupata CONNECTION ama LINE zilizonyooka kwa msaada sahihi.

Upande wa matokeo hasi:

Kuitwa majina yasio mazuri kama chawa, wapambe nk
Jamii kuona kama fuse zmekatika kidogo kichwan hauko sawa, kama kuna jamaa mmoja anauzaga office chairs ule utangazaji wake ni wazimu ila ndo hvyo anajiokotea.
Ukikosea ukaingia kwenye mfumo wa watu wa system umepotea kutokana na maudhui yako na kadhalika.

Story fupi:

Kuna jamaa ninaye mfahamu alikua amemaliza chuo miaka miwili mtaani haelewi ajira portal haijibu wala mtaani hakutaki, jamaa akajizima data akaingia kwa mkurugenzi wa mkoani kwake bila appointment day one akazuiliwa na wanye mamlaka nje pale day teo kama zali kwenye kuzuiliwa tena mkurugenzi anatoka ofisini kwake akaomba amsikilize jamaa akamuelekeza nimesoma ualimu ila moja mbili tatu sielewi, mkurugenzi akamuelekeza na yeye kwamba utaratbu si unaeleweka ila mkurugenzi akamwambia aina noma acha mawasiliano yako hapa ikitokea chochote kitu tutakugusa, kama mwezi na nusu hiv simu ya mkrugenzi kwa jamaa kuna sehemu mwalimu anatakiwa unaweza kwenda kujaza kiukwel ilikua n sehemu ya ndichi sana mwamaba akajibu nifike lini huko hakutaka kujua lolote😃 akapewa maelekezo akaingia kwenye line sahiv fresh, data yake aliozima ilimsaidia hvyo.

Ata mimi binafsi nashida na connection ya mkurugenzi wa mkoa wa kagera kuipata ndo mzozo, watu wa system tusaidiane.
 
Back
Top Bottom