Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa zaidi ,huku CAG akielezea zaidi ya Billion 40 walizokopeshana NHIF wenyewe .
Leo ghafla ghafla, NIHF imepata faida, ghafla ghafla namna hii.
Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa , Kuna harufu ya Rushwa kubwa Kati ya CAG na NHIF ili kuja na report inayoibeba NHIF kumfurahisha Rais Samia.
1/Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara
3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.
Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.
Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao
All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?
Hii faida inatoka wapi ?
1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business
2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?
3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?
4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?
5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.
Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !
Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.
Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada