faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna kazi nyingi katika nchi hii hazina faida kwa Taifa. Serikali ifikiri namna ya kuzikomesha au kuziboresha

    Nchi ya Tanzania watu wanachapa kazi sana na watu wavivu au wenyewe wanajiita wasio na kazi wako pia. Turudi kwenye mada. Serikali inawaza nini juu ya kazi ambazo hazina tija kwa taifa, hazichangii pato la taifa? Kazi ambazo zinampa ugali mfanyaji na familia yake basi. Taifa litasonga vipi...
  2. Faida za ndoa kwa mwanamke si kwa ajili yake mwenyewe, mara nyingi ni kwa ajili ya kitu fulani au watu fulani

    Utasikia tu: Ndoa ni heshima kwa wazazi Ndoa ni heshima kwenye jamiii Ndoa ni heshima kanisani Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza Nitaonekanaje mtaani Nitawaaibisha wazazi wangu Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo...
  3. B

    Mwenye ufahamu wa elimu ya vipande BOT, mtaji wa 30,000,000 Tshs unaweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka?

    Kuna wale akina sisi ambao tunaona risk kufanya biashara ambayo mazingira yake hapa kwetu hayatabiriki na hubadilika badilika. Je endapo nina 30 M Halafu nafikiria kuweka bond za BOT, je naweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka? Masharti ni yapi? Nimepiga hesabu liquid fund ya UTT...
  4. Simba walikua na faida ya refa na wachezaji wao wa zamani

    Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa vipenyo pale Singida. Simba wao wanahisi Singida utd na Yanga ni ndugu basi kutambua hilo...
  5. Faida za Maji ya Bamia kwa mwili wa binadamu

    Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu wake ambao mara nyingi huenda usifahamike sana. Virutubisho muhimu zinavopatika ndani ya maji ya...
  6. Afrika tupo bize na kuamini uchawi, bado hatustuki tu kwamba uchawi ni adui wa maendeleo?

    uchawi upo na hutuwezi kuuepuka kwa kuamini kwamba haupo, Kama wewe ni Mkristo au Muislam lazima uamini uwepo wa uchawi lakini hupaswi kuuamini kwa matumizi. Hapa nazungumzia uchawi sio matambiko maana matambiko mengi yana lengo positive kuondoa tatizo japo kuna baadhi ya matambiko yapo...
  7. Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

    Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa. Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman...
  8. Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
  9. K

    Faida kwa kuku 1000 wa nyama Dar ni 700,000 tu

    Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia ya kuongeza faida kwa kupunguza Gharama?
  10. Mradi wa Kiberenge mlima Kilimanjaro kwa faida ya nani

    Wadau wa sekta ya utalii katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha,wamepaza sauti wakitaka mchakato wa mradi wa ujenzi wa kiberenge ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro usitishwe . Kwamba mradi huo ambao utahusisha viberenge 40 katika Njia za Machame na remosho umegubikwa na changamoto...
  11. Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  12. Zipi faida na hasara iwapo nchi itaacha kutumia pesa yake na kuamua kutumia dola ya Marekani?

    Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya Argentina(Peso), kuvunja benki kuu na kuanzisha matumizi ya Dola ya Marekani kama pesa rasmi ya nchi...
  13. Faida ya kusafiri peke yako kwenda sehemu ngeni

    Ni vizuri kuwa na mwenyeji unapoenda kwa mara ya kwanza sehemu ambayo hujawahi kufika, lakini kuna faida kubwa zaidi endapo utaenda peke yako. Kwa mfano, kama hujawahi kwenda Kenya, usisumbuke kumtafuta mtu wa kwenda naye unapotaka kwenda kwa mara ya kwanza. Badala yake, ulizia kila kitu...
  14. Uwepo wa ID ya Tanesco hapa JF hauna faida yoyote kwa members, bora isiwepo tu

    Tulidhani ujio wa verified USER ID ya TANESCO italeta neema kwetu, kumbe ni bora isingeanzishwa. Tulijua TANESCO wangekuwa wakitujulisha mambo mbalimbali ili tujiandae lakini wapi. Leo tumeshindwa kununua umeme wa Luku, TANESCO wako kimya, wangeweza kabisa kutujulisha mapema kwamba tununue...
  15. Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30? Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
  16. M

    Ukiwa na mashine za embroidery nawezaje kupata faida? Mashkne za kuprint tshirt mfano kamouni ya ricoma

    NAOMBA KUJUA FAIDA NA HASARA ZA KUWA NA MASHINE HIZO KWENYE BIASHARA HII YA PRINTING. Vilevile naomba kujua ili nipate faida natakiwa niwe na raw material gani?
  17. Jifunze kuhusu DeX na CeX pamoja na hasara na faida Zake katika Cryptocurrency.

    Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google. Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na...
  18. Naomba wazo la namna ya kuingiza faida ya 30,000 na kuendelea kwa mtaji wa million 3

    Habarini members wenzangu, Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3! Nakaribisha mawazo yenu!
  19. Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    Habari. Assume wewe ni mfugaji wa Kiebrania. Umepewa urithi wa ng'ombe 100 na baba yako. Ndani ya mwaka wakazaliwa ngombe 20. Ukawa na ng'ombe 120. Wakati wa kutoa zaka unefika. Je utatoa ng'ombe wawili kama asilimia kumi ya ng'ombe ishirini walioongezeka au utatoa ng'ombe 12 kama asimilia...
  20. F

    Kama wewe unajua kuuza. Biashara ya U MC wa Harusi ndie biashara nyepesi kukupa faida ya milioni 20 kwa mwezi. Kwa mtaji wa mdomo wako tu na suti

    Habari wadau. Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe. Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida. Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia. Hiyo biashara imejigawa pande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…