faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  2. C

    Tubadilike Slogan sasa iwe kwa Mkapa Mgeni anakomba zote 3 au anachukua 1 ya Faida Kwake sawa?

    Mwekezaji Ni Dewji na Viongozi wako / wenzako akina Salim Abdallah Mhene 'Try Again", Murtaza Mangungu na CEO Imani Kajula upesi sana kaeni Kitako na Wachezaji wa Simba SC myamalize kwani Upuuzi huu wa Kinatokea ukiendelea mtakuja Kupigwa / Kuchapika vibaya na Mashabiki na hiyo Timu itatekwa...
  3. Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  4. Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena. Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo. Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
  5. ATCL yatengeneza faida ya Bil 1.5

    Bado haijahamika kama hii ni ALBAKI baada ya ile hasara ya Bil 170 kufidiwa . Kama unabisha shauri yako . --- Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema baada ya Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania(ATCL) kupata hasara ya takribani Tsh. bilioni 170 na kufanya maboresho kadhaa ya usimamizi...
  6. Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi. Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza. Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
  7. S

    Nitajieni biashara nyingine inayotoa faida kama mikopo ya kausha damu!

    Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii. Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika. Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
  8. Bajaji za Umeme zina faida gani? Changamoto zao ni zipi?

    Ndugu wataalamu mnaoendesha bajaji za umeme. leo nimeendeshwa na dereva wenye bajaji ya umeme na kuongea naye kumenipa wazo la kununua bajaji ya umeme mwenyewe. Dereva aliniambia bajaji za umeme zina faida tu: matumizi ya umeme ndogo, uwezekano wa kuichaji nyumbani, matengenezo ya gharama ya...
  9. Serikali hamasisha Watanzania kucheza Green Card ili tupate diaspora wengi. Ina faida za kiuchumi

    Moja ya nchi ambayo ina wananchi wake wanaoishi ugaibuni (USA, German, Italy, France, Canada, Australia, Norway, Spain, Denmark n.k) ni Tanzania. Ukiangalia Watanzania wanaoishi nje ya nchi idadi yake tunazidiwa na Somalia. Ukiachana na nchi kama Kenya, Misri, Sudan, South Africa na nyinginezo...
  10. P

    Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 1.5 unaweza kufanya biashara gani ambayo kwa siku unaweza kuingiza faida ya Tsh. 20,000/-?

    Wakuu, Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil? Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
  11. Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake. Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
  12. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Tume ya Mipango ya Taifa Iwe Taasisi Inayojitegemea, Ataja Faida za Kuwa na Taasisi ya Mipango ya Taifa Inayojitegemea

    MBUNGE REUBEN NHAMANILO: TUME YA MIPANGO YA TAIFA IWE TAASISI INAYOJITEGEMEA, ATAJA FAIDA ZA KUWA NA TAASISI YA MIPANGO YA TAIFA INAYOJITEGEMEA "Mwaka 1961 - 1964 Mipango ya Taifa imekuwa ikipangwa na Tume ya Maendeleo ya Uchumi. Mwaka 1965 Mipango tukaipeleka Ofisi ya Rais Idara ya Mipango na...
  13. Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k. Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta...
  14. S

    Faida Mbalimbali za Mmea wa Moringa katika mwili

    Moringa oleifera is a drought-resistant tree native to South Asia and Africa. It has been cultivated for centuries around the world for its potential health benefits. While the plant's leaves can be eaten, it is also found as a supplement in pill or powder form. The leaves have a spicy...
  15. Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

    Wakurungwaaa najeee? Kwa sisi wadau wa nyumba za kupanga kwa namna fulani unaweza kujikuta umevutiwa na jirani yako fulani kwa namna moja au nyingine. Au unaweza kujikuta unaangukia kwenye mahusiano na Mwanamke au mwanaume anayeishi karibu sana na nyumbani kwako. Je, kuna faida au hasara...
  16. R

    TANESCO wataweza kuendesha Mradi wa kuzalisha umeme wa Rufiji kwa faida au tutatafuta wawekezaji wakuja kuusimamia?

    TPA wameshindwa kuendesha bandari na sasa imekodishwa kwa wawekezaji. SGR imekwama kukamilika kwa wakati kwa nchi kukosa wasimamizi wa ujenzi wenye ujuzi wanaothamini ukamilikaji wa miradi kwa wakati kuepusha hasara au kuongezeka kwa gharama Mwendo kasi wamejenga barabara nyingi huko DSM...
  17. Faida alizonazo Simba kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly

    1)Simba anaongoza ligi kuu Tanzania bara 2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa 3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi 4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa 5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12 6)Page ya FIFA kuipost Simba ni...
  18. Unazijua faida za kuandaa AFCON? Tuanze kuzimulika hizi, nawe unaweza kuongezea hapo chini

    Nimefikiri Kwa kina sana na kuona Tanzania inaweza kupata faida kadhaa kutokana na kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON): 1. Kukuza Uchumi wetu: Kuandaa AFCON kunaweza kusababisha kuongezeka kwa utalii, maendeleo ya miundombinu, na fursa za ajira, zinazoweza kuinua uchumi wa Tanzania even...
  19. Jinsi ya kusimamia Shirika ili lijiendeshe kibiashara na kupata faida

    Sehemu ya 1: Kuelewa Msingi wa Uendeshaji wa Biashara 1.1 Ufafanuzi wa Malengo na Mkakati Kuanzia na msingi wa biashara, ni muhimu kuweka malengo wazi na mkakati wa kufikia malengo hayo. Weka malengo ya shirika lako kwa muda mfupi na mrefu, na hakikisha kuwa yanaambatana na maono yako. Panga...
  20. Faida 6 za Kiafya za Kufanya Mapenzi Salama

    Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. 1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo. 2. Huongeza ukakamavu wa mifupa. 3. Hupunguza msongo wa mawazo. 4. Hupunguza maumivu. 5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume. 6...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…