faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubinafisishaji wa Bandari zetu Muendeshaji atapata faida kubwa kuliko Serikali

    Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
  2. Kuna faida kwa nchi au wanasayansi kupeleka chombo mwezini....

    Hello guys; Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu... Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa na USA na USSR 1966 na China 2013 Sasa nikajiuliza kichwani lengo linakuwa ni nini? Kufanya utafiti...
  3. Nitumie nikushauri ili upate mabadiliko na faida kwenye biashara/huduma zako ndani ya miezi mitatu tu

    Natumaini mpo salama Napenda kuchukua fursa hii kuelezea dhamira yangu ya kuwa mshauri wa biashara kwa wajasiriamali, wafanyabiashara, na kampuni mbalimbali. Ukitaka kufanya biashara yoyote ile unatakiwa kufanya utafiti na kuwa na mshauri. Kutokufanya utafiti ni chanzo cha biashara nyingi...
  4. Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

    Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana.... Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
  5. Tafakari yangu juu ya Wasomi-Masikini wa JF

    Juzi kati nilikuwa nazungumza na madogo fulani wawili kuhusu Jamiiforums. Wale madogo wakasema kuwa hawajawahi kuisikia Jamiiforums!! Nilishangaa sana, ni madogo wenye kazi na wako active kwenye mitandao ya kijamii. Yaani mtandao upo tokea mwaka 2006 hawajawahi kuusikia!!? Licha ya hayo...
  6. Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja katika jamii yetu kwa wanaume na wanawake

    Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
  7. R

    Kukamata na kuteka watu kuna namna ina faida kubwa sana kwa vyombo vya dola; watu wanaojitajirisha kwa mbinu hizi ni wengi sana. Matajiri jiandaeni

    Moja ya faida kubwa ya kamata kamata ni kutia watu hofu. Kamata kamata siku zote uishia kwa wenye fedha siyo maskini pekee. Hakuna mtu ataaingika na kiumbe asiyetoa chochote lazima uwepo mchanganyiko wa wenye fedha na wasio na fedha. Dola ikianza kukamata kamata watu tambua wafanyabishara wapo...
  8. Faida za choroko na mapishi yake

    Choroko ni moja kati ya nafaka zenye kiwango kikubwa cha protini, madini ya phosphorus na calcium. Ukiachilia mbali faida nyingine, virutubisho hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa afya ya ubongo. Wataalam mbalimbali wamenukuliwa na mtandao wa kesehatan.123.com wakielezea umuhimu wa ulaji wa...
  9. B

    Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

    Miezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa JF wenye title" Tunaowatoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa" Soma: Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakaonipa "faida"...
  10. M

    Ukibahatika kuwa na hela nyingi usizitumie kufanya uovu. Kuna faida gani kuoa mwanaume mwenzio sababu ya pesa?

    WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
  11. SoC03 Janja janja ya China kupata faida maradufu Yani (super profit)

    Kwa Hapa nchini Tanzania ambayo Ili kuwa na mfumo wa kijamaa, kutoka TANU mpaka CCM. CCM Bado Ina urafiki na nchini ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa kama washirika wake wakaribu. Na china (ujamaa) inaitumia fursa hiyo vizuri sana,Kwa kujiweka karibu sana na viongozi waandamizi wa chama...
  12. SoC03 Tambua fursa ya biashara kutoka kwenye soko la hisa na Faida ya kubadilisha Sheria ya Foreign Exchange Act ya 1992

    Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la hisa kunatoa fursa kwa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni na kupata faida kutokana na mafanikio yao...
  13. Faida sita kubwa za kula ndizi mbivu na angalizo la kutokuweka ndizi kwenye friji

    Ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na pia ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre), ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni. Pia, ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata...
  14. Faida za Morning glory 😋

    Huongeza upendo(love), Huchangamsha mwili, Huongeza ufanisi kazini, Unasafisha mikosi na mabalaa Na mengineyo. Vijana tule vyumaa....
  15. R

    Wawekezaji baada ya kutengeneza faida lukuki wameamua kutufilisi kwa kufungua kesi huko Mahakama za kimataifa. Wanasheria wetu wanafanya nini?

    Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi...
  16. Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

    Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi. Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz...
  17. Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS". Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza. Haya sasa...
  18. M

    Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  19. Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

    SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
  20. Simba SC Haina faida yoyote kwa mo, Simba ndio wanufaika ,namshauri mo aachane haraka na SC,.uko

    Ukipita mitaani ukawakuta mashabiki ,WA Simba na wachambuzi wa soka watakuonyesha kwamba mo dewj anaidhulum Simba au wanataka billion 20, wakati huo huo mo dewj ameendelea kutumia pesa zake kuihudumia timu kwa mambo mbalimbali ambapo tangia ameanza kuifadhili timu mpaka Leo huenda ametumia zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…