Je ni kwa faida ya wazanzibari maana they are offering lesser if any than what they're gaining . Kumbuka hawa jamaa wana inchi yao, wizara zote, board yao mokopo chuo kikuu, rais wao, wana kila kitu kama serikali.
It is very likely kwenye huu Mungano zanzibari wamechangia jina tu "zanzibari "...
Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN.
Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
Habari zenu,
Natumaini wote wazima.
Huwa najiuliza swali hili kila siku. Na jibu sijawahi kupata, sasa kuna umuhimu gani wa kuishi duniani hali ya kuwa utakufa?
Biblia inasema kuwa Adamu na Hawa walikula tunda pale edeni eti ndo sababu tunakufa. Ina maana kuwa kifo hakikuwa kabla ya kula lile...
Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada.
Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji.
Hii ni Kwa kwa sababu zifuatazo;
1. Ni vizuri kupata uzoefu WA kutosha katika uwekezaji, hivyo ni vyema...
Toka tupate uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 nchi yetu imekuwa na sera kuu ambayo inaendelezwa hadi sasa ambayo asili ya sera hiyo ni (NAM) Yaani Non Aligned Movement, sera hii ilikuwa imetawala Sehemu kubwa ya dunia hususan katika Bara letu la Afrika na nchi za mashariki ya kati
Kwa nchi...
UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na kiutamaduni ya nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, ina vivutio vingi vya utalii...
Huenda labda ni kuchanganyikiwa au kutokujipanga kwa viongozi wa Tanzania katika kutetea mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya DP world na Tanzania. Kumekuwa na kauli za kukinzana na kuvuruga kutoka kwa viongozi watetezi wa sakata hili ili kujibu shutuma za Bandari yetu kutolewa bure na...
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
"DP WORLD wakipata faida huwezi kuwatoza kodi lakini pia hakuna kifungu chochote (katika mkataba wa bandari) kinachozungumzia revenue sharing (mgawanyo wa mapato), kama nchi itafaidika vipi?" Prof. Shivji
"Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu...
MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD: ATHARI ZA KIMKATABA KWA UCHUMI WA TANZANIA NA UWAJIBIKAJI WA SERIKALI KWA WANANCHI WAKE - JE, NI FAIDA AU HASARA?
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
A. Muktadha wa mkataba wa Bandari na DP World
Mkataba wa Bandari na DP World ni makubaliano yaliyofikiwa kati ya...
Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu.
Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa.
Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500.
Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
Naomba wenye uzoefu wanisaidie katika hili. Nini faida za magodoro ya spring. Maana demu wangu naona anasisitiza nimnunulie Godoro la Spring la 5x6. Kwenye inch hapo anasema yoyote ile iwe 6,8,10.
Naomba wenye uzoefu wa haya magodoro please.
DP world nia yao kubwa ni kuzuia Tanzania huko mbele isiwe transit ya makontena na mizigo. Nia yao sio kupata faida. Hii ndiyo sababu ya kuweka zuio la badari nyingine ambazo haziwahusu. Nashauri Tanzania iajiri consultants kama McKinsey ambao wanaelewa strategies za nchi na sio wabunge pekee...
Habari Wana forum,
Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri...
Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida. Amesema Mashirika Yatakayokufa basi wahusika wajiandae kufa nayo.
“Serikali tumeamua kufanya tathmini ya utendaji wa...
Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo:
Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha
Note
1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu
2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
Si mara ya kwanza kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuzua manung'uniko na hata ushauri kuwa ima uvunjwe au urekebishwe. Wapo, hasa Wanzibri, wanaoona kama Zanzibar imemezwa na Bara.
Pia, wapo, hasa watu toka Bara, kuwa Zanzibar inapendelewa. Wanadhani ilipaswa kuwa kama si wilaya basi mkoa...
Kwa maoni yangu.
Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano.
Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano.
Ni kama vile wao ndio watanzania...
Kwanza nitangulize samahani na pia wasinichukulie vibaya wahusika wa jamiiforums.
Kikubwa ni kutaka kujua ni kivipi mimi naweza kufaidika na kuwa katika huu ukurasa je kuna reward yoyote naweza pata au kitu chochote ambacho kinaweza kunivusha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.