Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.
Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali
Ureno...
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.
Kiutani namna hii Argentina anakwenda...
Nashangaa kuona TFF haina wivu wa maendeleo, Kama nchi masikini kama senegal, togo na Cameroon zinaweza kwenda world cup finals vipi Taifa stars ishindwe?hii inaonesha kwa jinsi gani viongozi wa TFF hawsivyo na mikakati ya maendeleo vichwani waingiapo madarakani.
Iweje walipwe mishahala minono...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) wa mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga. Watatu Kulia ni...
Wataalam,
Niipongeze Taifa Stars kushiriki na kuonyesha uzalendo na ushindani katika michuano ya kombe la dunia ingawa kuna mapungufu mawili matatu yanayosahihishika ni hatua kubwa kwa timu na serikali kwa ujumla tunajua huu ni mwanzo wa maendeleo mapana yajayo, tuizungumzie timu yetu;
Hali...
MHE. GEKUL ASHANGILIA Serengeti girls KUTINGA ROBO FAINALI
N/Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Gekul ashangilia matokeo ya ushindi kwa Serengeti Girls U17 baada ya kutinga hatua ya Robo FAINALI ya Kombe la Dunia la wanawake U17 linaloendelea Nchini India.
Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza.
Kutokana na matokeo hayo, Tanzania imepata uhakika wa medali katika michezo hiyo.
Kabla ya hapo, Changalawe...
Ujue ile billions 12 ya sportspesa imejumuisha kama watachukua ubingwa wa Afrika lakini hilo halisemwi ,wewe unaweza kuogopa ila wajuba wa jangwani/ salamander mwaka huu wamesema wanatoboa hadi fainali ya CAf champions league ndiyo maana boss kubwa lao lishaahidi billion moja kwa hilo.
Tarehe 6...
Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza.
Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
YANGA KUFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA 2022/23?
Mwaka 1974 Klabu ya soka ya Simba ilipewa jukumu la kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Simba ambao walipata tiketi hiyo baada ya kutwaa ubingwa mwaka 1973 walijikuta wakiwa na deni kubwa kwa vile watani zao Yanga...
Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza slomo.
Usajili uliofanywa na Simba kwa Augustine Okra na Phiri ikiwemo anayetajwa kusajiliwa Okwa ni...
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye.
Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga...
Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5.
Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata...
Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022
Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kufikisha mabao...
wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.