CAF Championship mwaka huu inaonekana kuwa ngumu sana. Mpaka sasa bado mchezo baina ya ES Tunis na ASEC Mimosas bado unaendelea na bado hawajafungana; nitakuja kuhariri post hii baada ya mchezo huo kuisha. Katika timu sita ambazo zimeshamaliza round ya kwanza ya robo fainali ni timu moja tu...
Match Day 1st Leg.
Robo fainali
Yanga vs Mamelodi
Muda ni Saa 3 Usiku.
Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Mamelodi Sundowns
Mchezo umeanza
10' Mchezo bado una Kasi ndogo, timu zinasomana
20' Wageni wanamiliki mpira muda mwingi lakini Yanga...
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo...
Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi Tanzania kati ya New Force/ Golden Deer vs Sauli.
Maafa tumeanza kuyaona, leo mabasi yamegongana na Lori...
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo.
Kuanzia wachambuzi...
Manchester United imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la FA (FA Cup 2023/24) kwa ushindi wa magoli 4-3 dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Old Trafford, mchezo ambao umechezwa dakika 120 baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90.
Kwa matokeo hayo, Man United imeungana na Coventry City...
Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali..
kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo..
Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa...
https://www.youtube.com/watch?v=Wi1gdJiCIt4
The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March 2024.
The draw will be conducted in Cairo, Egypt starting with CAF Confederation Cup at 14h00 Cairo...
Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo...
Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali.
Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika.
Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
Uongozi wa Klabu ya Simba baada ya kuona upweke wa kila msimu kuvuka hatua ya makundi hadi Robo Fainali katika mashindano ya CAFCL na kila mara kuwa timu pekee kutoka Tanzania, umeamua kuanzia msimu huu kuanza kuambatana na timu mojawapo ya ligi ya NBC itakayokidhi vigezo itakavyoweka.
Msimu...
Naomba mwenye kujua atujuze maana kwa sasa macho na masikiio yetu ni kuhusu hii droo ya kupanga timu zitazocheza robo fainali ya club bingwa na matokeo yake.
Karibuni.
Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali.
Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu.
Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance mambo yangekuwa magumu.
Kwanini nasema hivi.
Timu bado inafanya sana makosa nyuma, makosa ya dhahiri...
Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani.
Hivyo, kuanzia hatua ya...
Mfano kwa hapa kwetu Simba na Yanga ikitokea huko mbele moja aongoze kundi mwengine ashike nafasi ya pili, inawezekana?
Uwanja wa nyumbani na ugenini utakuwa upi?
Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali.
Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.