Hapa Kibaya wilayani Kiteto kuna trafiki anakamata sana pikipiki na hataki kutoa Control No, akidai kashalipia wewe mpe hela taslimu(Cash money) tu.
Haya si mazingira ya rushwa kabisa na akijidai ni Afisa mwadilifu
Na ni mtu wa visasi endapo utamzidi akili na kumdai unataka ukalipie kwenye...