Waziri wa mambo ya ndani, pole na majukumu! Nimekuja kutoa malalamishi hapa! Iko hivi! Unaandikiwa faini 30,000tsh! Yaani kwa haraka sana, bila onyo!
Unajikusanya unaenda kulipa in within 5 days unakuta unadaiwa 60,000tsh! Unajiuliza hii imekaaje? Unalipa, unafurahi uko huru! Inaenda mwezi mzima tena, unakaguliwa kwa siku hata mara tatu njiani, unakutwa uko sawa yaani hudaiwi huna kosa, unakata kona unaenda two kilometers unapigwa mkono!
Unaambiwa lete leseni, inadaiwa barua ya kuhakiki leseni yako, unajieleza mpaka vyeti vyako vya driving lakini waaapi! Leseni iko hai, madaraja yako vizuri kabisaa, ghafla unapewa printed tucket unaambiwa una deni la 60,000tsh!!!
Siku hiyohiyo, umekaguliwa over 5 times uko sawa, unaenda two kilometers unaambiwa unadaiwa!!!! Unaonyesha mpaka meseji ya polisi jinsi walivyopokea malipo yale ya deni la miujuza la 60,000tsh kupitia CRDB lakini waaapi! Unaambiwa labda hela haikwenda!!!
60,000tsh sio ndogo, inaumiza sana, yaani hapa nitakuwa nimelipa 120,000tsh kwa deni ambalo nilishalipia hiyo 60,000tsh ya miujiza nalingine nalo linaibuka kama pepo!
Naomba huu mfumo upitiwe upya!! Naogopa huenda umesha guswa guswa!
*Ticket ionyeshe kosa halisi husika na kiasi cha faini
CC / WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA