Ukifikisha point 15 unafungiwa (suspended) leseni yako kwa miezi sita, baada ya hapo utaomba tena. Ukifungiwa mara ya pili, ukiomba tena hutapewa daraja lilelile utapewa lile la chini kabisa kama vile muombaji wa mara ya kwanza.
Uwekaji wa pointi (endorsement) unafanyika mara unapoandikiwa...
Kuangalia madeni yako ya makosa ya barabarani (Traffic Fines) kwa urahisi na haraka, unaweza kutumia njia zifuatazo:
1. Kupitia Tovuti (Online)
Hatua ya 1: Fungua kivinjari (browser) kwenye simu yako na tembelea tovuti rasmi ya RTOC au TMS Check.
Hatua ya 2: Chagua aina ya taarifa unayotaka...
Kama Trafiki polisi wa Mafinga wakilipisha kosa dereva, ile hela sio mali Jeshi, iende pale pale Mafinga kusolve ishu ndogo mfano kupaka rangi Zebra zilizofutika, kuweka vibao, etc kwa kifupi irudi kwa community.
Kitendo cha kuigeuza mali ya jeshi naona kama sio sawa.
Waziri wa mambo ya ndani, pole na majukumu! Nimekuja kutoa malalamishi hapa! Iko hivi! Unaandikiwa faini 30,000tsh! Yaani kwa haraka sana, bila onyo!
Unajikusanya unaenda kulipa in within 5 days unakuta unadaiwa 60,000tsh! Unajiuliza hii imekaaje? Unalipa, unafurahi uko huru! Inaenda mwezi...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja idadi ya ajali zilizotokea Tanzania kwa mwaka ambapo ametaja kuwa kumerekodiwa ajali 1093 ambapo zimesababisha vifo 7636 na majeruhi 12663 ambapo wengine wana ulemavu wa kudumu.
Aidha ametaja kuwa suala hili ni chanzo cha yeye pia kuondolewa uwaziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.