figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ukifikisha point 15 unafungiwa (suspended) leseni yako kwa miezi sita, baada ya hapo utaomba tena. Ukifungiwa mara ya pili, ukiomba tena hutapewa daraja lilelile utapewa lile la chini kabisa kama vile muombaji wa mara ya kwanza.
Uwekaji wa pointi (endorsement) unafanyika mara unapoandikiwa kosa. Mara ya kwanza miezi 6, mara ya pill miezi 12, maraya tatu miezi 36, mara ya nne miezi 72, hivyo ndivyo vipindi vya kufungiwa.
Haya ni baadhi tu ya makosa
1. Kuendesha gari bila kusajiliwa=point 3
2. Kutokuwa na, au kutobandika alama za utambulisho=point 1
3. Gari la mafunzo ya udereva kutokuwa na alama za utambulisho=point
4. Kuendesha bila kuwa na leseni=point 3
5. Kukiuka maelekezo ya uendeshaji gari barabarani=point 3
6. Makossa ya ubovu wa gari(roadworthiness)=point 1
7. Kutofunga mkanda au kuvaa helmeti=point 3
8. Kuendesha taratibu sana=point 1
9. Kuendesha upande hatari=point 3
10. Kupakia mtu Zaidi ya mmoja kwenye pikipiki (mishikaki)=point 3
11. Kumzuia dereva wa gari=point 1
12. Kutumia gari ya abairia kubeba mizigo=point 3
13. Kutokuwa na reflector=point 1
14. Kusababisha kelele za kubwa na gari kutoa moshi mwingi-point 1
15. Kutoegesha kushoto=point 3
16. Kushindwa kusimama=point 1
17. Kushindwa kutii sheria za barabarani=point 3
18. Kupakia kwa hatari=point 3
19. Gari kuwa na tairi mbovu=point 1
20. Kuegesha kwenye njia za waenda kwa miguu=point 3
21. Kuendesha gari la mtu bila ridhaa yake=point 1
22. Kuzuia au kuingilia msafara rasmi=point 3
23. Kushindwa kupunguza mwanga wat aa usiku=point 3
24. Kuendesha bila kuwa na sifa za udereva=point 5
25. Kuzidisha spidi=point 5
26. Kuendesha ukiwa umekunywa kilevi/madawa=point 5
27. Kuovateki vibaya=point 5
28. Kutosimama kabla ya zebra=point 5
29, Kutoheshimu taa na michoro barabarani=point 5
30, Kutokuwa na bima hai=point 5
31, Kuzidisha abiria=point 5
32. Kubeba abiria kwenye gari lisiloruhusiwa=point 5
33. Kutosimama kwenye vivuko vya reli=point 5
34. Uendeshaji wa hatari=point 5
JIULIZE UKIANZA HUU UTARATIBU,JE LESENI YAKO ITASALIMIKA?
Mdau akifafanua kuhusu namna utekelezaji wa kukata pointi kwenye leseni utakavyokuwa
Soma:
~Dereva alalamika Askari wa barabarani kuwakatia Point kwenye leseni
~Mfumo wa Pointi Leseni: Usawa Wapi?
~Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani
Septemba 29, 30, 2026 madereva wa mabasi na malori wamegoma maeneo mengi nchi nzima kisa pointi za leseni ma mambo mengine
Pia soma:
~Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu
~Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar
~DC Msando aagiza Mabasi yote yaondolewe stendi ya Magufuli, na kuyapeleka yadi kwao hata kama yana abiria
~Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu yeyote au kikundi kinachojihusisha na vitendo vya kuzuia mabasi na malori kuendelea na safari zao