Kutoka Yanga official page
Amekwenda Azam Sc.
-----
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC.
Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halijawekwa wazi na ataungana na timu yake mpya baada ya dirisha la...
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.