Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo, Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa mbao. Kumbuka kombora moja linagharimu us dollar milion1.2 na utengenezaji wake huchukua mwezi...
Utafiti wa ukweli utakaomwezesha mtu kupata shahada kubwa ya uzamivu (PhD)kamwe hawezi kuufanya na huku akifanya kazi ya uwaziri. Ina maana unamweka mtu akukusanyie data.
Kwa Wale mnaomkumbuka marehemu Edward Moringe Sokoine huyu aliacha kazi ya uwaziri mkuu akaenda iliyokuwa Yugoslavia kusomea...
Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani.
Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda" huchukua mkondo wake kama njia ya kuongeza au kupunguza hamasa ya mapigano kwenye uwanja wa medani...
Habari wadau, katika harakati za kuendelea kutafuta kazi kuna baadhi yetu ambao tayari wamekutana na hizi kampuni zinazofanya kazi ya kuwatafutia kazi watu, wao wanakua kama agencies, some of them are fake, some are real.
tushare experience hapa kwa wale ambao wamewahi kufanikiwa kupata kazi...
Habari wadau,
Mimi hata sitaki maneno meng in short ni kwamba nina kaz kubwa nataka kuprint ila uwezo wa kumudu wino wa laki 7 sina naombeni msaada wapi naweza kupata wino fake
Natanguliza shukrani
Wakuu,
Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe.
Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe kama vile siielewi.
Sijawahi kutumia hii product na hii ndio mara ya kwanza. Nawezaje kuitumbua...
Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
Zanzibar: Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Labaini uwepo wa vyeti fake Mjini magharibi pamoja na mihuri.
Jeshi hilo limebaini sehemu ambapo vyeti fake pamoja na mihuri imebainika, vyeti hivyo na mihuri ni pamoja na Vyeti vya shule (msingi, sekondari na vyuo), vyeti vya ndoa, vyeti vya kugushi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.