falsafa

  1. T

    Falsafa ziongozayo maisha ya Wayahudi

    Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama ifuatavyo: 1. Uungu na Uumbaji: - Wayahudi wanaamini kwa Mungu mmoja aliyeumba ulimwengu na kuwa na...
  2. Ado: ACT imejiridhisha maridhiano yaliyoahidiwa na Rais Samia yamesambaratika na falsafa yake ya 4R imeota mbawa

    ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama). Kikao hicho kilipokea...
  3. Dodoma: Maelfu washiriki 'Generation S Samia Jogging'

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe. Shekimweri ameyasema...
  4. FALSAFA #1

    FALSAFA #1 : Anaandika mwanafalsafa mmoja ya kwamba, Katika hii dunia hakuna kitu kikubwa,kushinda mtu Na ndani ya mwanaume hakuna kitu kikubwa kinachoshinda FIKRA na UFAHAMU NENO Hapo mwanzo kulikua na Neno,naye Neno alikua kwa Mungu, Na huyo neno alikua Mungu. Pasipo yeye hakuna...
  5. Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  6. Fahamu falsafa ya Order out of chaos inayotumika kuleta utaratibu mpya baada ya machafuko

    Habari zenu waungwana..... Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama njia ya kuleta "utaratibu" au "mabadiliko" ambayo ni yenye manufaa kwa wale walio katika madaraka...
  7. Rais Mwimyi: Falsafa za Baba wa Taifa zinatekelezwa kwa vitendo

    RAIS MWINYI : FALSAFA ZA BABA WA TAIFA ZINATEKELEZWA KWA VITENDO. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuwa kaulimbiu ya Mbio za Mwenge mwaka huu imeonesha umuhimu kwa Taifa linalohitaji maendeleo, sambamba na kuwa na mazingira endelevu...
  8. B

    Waziri Mkuu Majaliwa - Tekelezeni kwa vitendo falsafa ya 4r za Rais Samia

    06 September 2024 SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo...
  9. Kikao cha mashauriano TCD chaenda sambamba na falsafa ya Rais Samia ya 4R

    KIKAO CHA MASHAURIANO CHAENDA SAMBAMBA NA FALSAFA YA RAIS SAMIA YA 4R Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ambacho, mbali ya viongozi wa vyama hivyo, pia kilihudhuriwa na...
  10. T

    Wananchi wanaimani na Falsafa ya Rais ya 4R ituvushe salama kwenye uchaguzi, wengine wanachafua. Kulikoni?

    Mimi ni mmoja niliyevutiwa na falsafa ya 4R alizoziasisi Rais Samia. Na kwa vyama vya siasa, viongozi wa dini, mashirika ya nchi za nje, mabalozi na wananchi walianza kumwelewa na kuamini kuwa safari nchi itaonja nuru ya uchaguzi ulio huru na haki ili wananchi wachague wanachokitaka. Baada ya...
  11. Falsafa mpya inajengeka ndani ya nchi yetu. Ni kuhusu nchi yetu kuwa channel na FM ya vichekesho huko mbinguni.

    Kwema Wakuu! Natahadharisha! Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito. Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu. Kujidharau Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo. Watu wetu ni...
  12. Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

    Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake. Kuna...
  13. Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  14. E

    Kufuta falsafa - Afrika tunatengenezwa mataahira

    (Sehemu ya Kwanza) UTANGULIZI Andiko langu hili limelipanga katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza inahusu nadharia tete zangu kuhusiana na mdororo wa elimu na mmomonyoko wa maadili katika nchi za Kiafrika na kati ya watu weusi tuishio barani Afrika kwa ujumla. Sehemu ya pili inahusu mkasa...
  15. J

    Jokate Mwegelo: Bila Rais Samia kuwa na falsafa ya 4R katika uongozi wake, kuna watu wasingekuwa na jeuri ya kuandamana

    "TUENDELEE kumuunga mkono Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuongoza nchi yetu, amekuwa mfano kwa kuwezesha wanawake kisiasa, kiuchumi na alipewa nchi katika kipindi kigumu lakini alionesha ujasiri na uwezo wa uongozi mkubwa na kupita kwenye mapito tukiwa wamoja na kupelekea kuwa...
  16. Bashungwa amsimamisha Meneja wa TANROADS - Lindi, akuta mtaalam wa Falsafa na Wananchi wakisimamia ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
  17. Kitabu kipi Kimekupendeza na zipi falsafa ulizopenda humo kati ya Mkapa na Mwinyi

  18. Falsafa ya Gamondi: Football is a show game (An Art) bado kuna Mtu ana swali?

    Na Nukuu "I am very happy and proud of (Yanga style of play). If you remember at the beginning I said for me football is a show game, we play for the fans, not only Wananchi but for all the people who love football. Yanga is a team to watch even if you are not a Yanga fan"..~GAMONDI Kwa...
  19. Haya ndiyo mazao ya falsafa ya 4R

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuruhusu maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumatano Januari 24.2024 ni ishara ya utekelezaji wa falsafa ya 'R4' iliyoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo inatajwa kuimarisha Demokrasia na umoja...
  20. D

    Kuna umuhimu wa kusoma falsafa na theolojia kwa wachungaji, vinginevyo ni shida

    Huwezi msikia padre au Askofu wa Katoliki anasema eti yeye hajazaliwa kupingana na Serikali. Maana yake hata serikali ikisema bomoeni makanisa yeye atasapoti tu mana hajazaliwa kupingana na serikali. Ndo mana watu wenye akili kama akina protease lugambwa tangu awe cardinal hajawahi kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…