Wale wanaobeza wengine kwa kuwaita MATAGA wanafanya hivyo wakielewa hata maana ya neno MATAGA "Make Tanzania Great Again"?
Taifa lilikuwa linaielekea kubaya hadi 2015, na watu tulitaka mwelekeo mpya wa nchi yetu.
Doctrine ya MATAGA ni kujenga nchi yenye sifa zifuatazo:
Viongozi watakaoweka...
Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA.
Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
Tangu ulipoondoka mambo yamebadirika miluzi imeongezeka
Tangu ulipoondoka, mambo yamebadilika,
Watu waliookoka, wote wameshapotoka,
Twarudi tulikotoka, taifa linaanguka,
Tangu ulipoondoka, mambo yamebadilika.
Tangu ulipoondoka, mafisadi wanacheka,
Uchumi umeanguka, keki inapukutika,
Rangi...
Ubuntu ni falsafa ya Kiafrika inayosisitiza ushirikiano wa jamii kama msingi wa maisha bora. Ubuntu ni neno la Kingoni linalotafsirika kwa Kiswahili kama "mtu si mtu bali watu".
Msingi wa falsafa hii ni mtu si mtu bali watu. Katika lugha ya Kihaya "Omuntu ti muntu ka ataliho bantu".
Falsafa...
Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.
Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.
Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu
Kuwaingiza akina...
Kivuli cha falsafa za JPM, ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia
Deogratias Mutungi
Ukweli wenye mantiki ndani yake upo wazi kuwa kivuli cha falsafa za JPM ni fumbo linaloishi sasa na litakaloendelea kuishi ndani ya mawazo ya rais Samia Suluhu Hassan, dhana hii inajengwa kifikra...
Kama umesoma historia ya nchi hii hasa katika mapambano au vita vya kupigana na mkoloni, bila shaka utakuwa umesoma na habari ya Mzee Kinjekitile Ngwale, kiongozi alieongoza watu wake katika kupambana na mkoloni ingawa alinyongwa na wakoloni wa kijerumani mwaka 1905 na kuacha vita ya maji...
Salaam Wana JF.
Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
Wanajamii habari gani
Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi.
Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
Falsafa ya biashara ni nini?
Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya utendaji. Falsafa ya biashara inaelezea kusudi la biashara na malengo yake. Inaweza pia kuorodhesha...
Wakuu
Nimejaribu kufikiria baadhi ya falsafa za Yesu wa Nazareth katika uwanja wa Siasa, Nimegundua ni ngumu mno, na hazitekelezeki kwa wengi wetu.
Embu fikiria falsafa hii
" Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi" Yesu wa Galilaya
" Akunyang'anyaye mshipi, muachie na joho" Yesu wa...
Ukinipinga pinga kwa hoja.
Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake wote linapokuja suala la wanawake lazima atoke kapa na (ndio maana haieleweki hata kama akioa). Manabii na...
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao...
Tangu mwishoni mwa mwaka 2019, dunia imekuwa inapitia janga kubwa la mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona. Mlipuko huu ulianzia kwenye mji wa Wuhan nchini China na wengi hawakuupa uzito unaostahili.
Mpaka kufikia mwezi Machi 2020, ugonjwa ulikuwa umesambaa kwenye...
Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote.
Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana.
Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
Habare comrades
Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
Wanajamvi,
Hii nimeikuta ukutani kwangu nikaona kubwa ni busara kueleta hapa ingawa kwenye hili mimi sina upande ninaoshabikia .
'Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake...
Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.