falsafa

  1. Falsafa za Adoph Hilter zinapendwa kutumiwa na viongozi wa Afrika kubaki madarakani

    Kuna wimbi kubwa wengi tunapenda kuokota bila kufatilia kiundani sana. Kama utakuwa umebahatika kujua na kusoma vizuri utawala adolph hilter basi utaona kuna chechembe nyingi aina ya viongozi wengi wakitumia ili kubaki, kukubalika na hata kutenganisha watu. Sio mgeni ndani ya nchi yetu na nchi...
  2. Ipi ni falsafa ya CCM kwa sasa?

    Enzi za Mwalimu katika mikutano ya CCM walichezesha nyimbo za akina Mbaraka Mwinshehe (nyimbo bila jasho) ulionekana Uzalendo hata unapocheza nyimbo hizo,juzi katika mikutano yetu ya Uchaguzi zilichezeshwa nyimbo na mtindo wanaocheza. Basi mtu utagundua tupo ki-hip hop singeli na rusha roho...
  3. Rais Samia mpe Kabudi Wizara ya Mambo ya Nje awanyooshe mabeberu. Ondoa falsafa ya kufungua nchi

    Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji...
  4. N

    Falsafa ya Mwalimu Nyerere

    Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo. Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
  5. Shaka: Falsafa ya Uchumi kuongoza Uchumi yathibitishwa TANZANIA ndani ya siku 558 za Rais Samia

    SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa...
  6. N

    SoC02 Falsafa ya elimu bila malipo

    Na mwandishi Nosim. Elimu ni ujuzi, utambuzi au maarifa. Kwa kulitambua hili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania imejidhatiti katika sekta ya elimu kwa kuipa kipaumbele. Serikali imejitahidi kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto kubwa inayopelekea wananchi haswa vijana na watoto kukosa...
  7. Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

    UTANGULIZI TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM. NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA. KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...
  8. Falsafa na itikadi za Hayati Magufuli ni mwarobaini kwa maendeleo ya Afrika

    ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi. Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu. Huenda tusijue...
  9. Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

    Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli. Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
  10. Vita havijaribiwi, Ila silaha zinajaribiwa

    VITA HAVIJARIBIWI, SILAHA NDIZO ZINAJARIBIWA. Anaandika, Robert Heriel. Vita ni sumu. Sumu haionjwi. Vita ni mkondo wa MTO wenye maji, kamwe usitie miguu kupima kina cha maji. Vita havijaribiwi, ukivi-beep vinakupigia pasipo tafadhali. Maisha ni vita, maisha hatajaribiwi, maisha hayachezewi...
  11. F

    Diamond Platnumz apewe shahada ya falsafa ya heshima

    Mwanamuziki nguli anayetamba duniani kwa kazi zake na ukwasi mkubwa Naseeb Abdul Juma Issack almaarufu kama Diamond Platnumz anastahili kupewa tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa na vyuo maarufu duniani kwa jinsi ya mchango wake kwa mtu mmoja mmoja, jamii kwa upana wake, taifa/serikali...
  12. Falsafa tano za sheria

    08 APRILI 2012 IMEANDIKWA NA TESFAYE ABATE NADHARIA KUU ZA SHERIA Chapisha Barua pepe [Biset Beyene, Dokezo la Utangulizi kuhusu Sheria kwa Ujumla, 2006: 5-10] Nadharia mbalimbali za kisheria zilikuzwa katika jamii. Ingawa kuna idadi kadhaa za nadharia, ni nne tu kati yao...
  13. Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

    IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari. Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
  14. Falsafa za Muafrika katika uwanja wa kalamisine etihad

    Falsafa ni kitu cha msingi kwa mwanadamu. Falsafa inamtengenezea mtu platform ya kuwin challenge yoyote inayomuijia mbele yake,maana tunaamini njia bora zaidi kuishinda changamoto ni kuifata ili upambane nayo,maana ukiikimbia itabaki vile ilivyo na bado itakufukuzia kwa nyuma hadi ikupate...
  15. Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

    Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
  16. T

    Bi Mongella: Kama taifa hatuna falsafa inayotuongoza

    Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?" Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
  17. T

    John Mnyika kashindwa kuichambua falsafa ya CHADEMA ikaeleweka matokeo yake chama kinamfia

    CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya...
  18. Yesu alikula na kunywa na walevi, Je, Rais Samia anatumia Falsafa hii?

    YESU ALIKUNYWA NA KULA NA WALEVI NA WAHUNI; JE Rais SAMIA ANATUMIA FALSAFA HII? Kwa Mkono wa Robert Heriel. Nikiuangalia utawala wa Mama Samia Suluhu ninajikuta nikikumbuka Kisa cha Yesu wa Nazareth. Yesu wa Nazareth moja ya falsafa yake ni kuchangamana na Wale wanaotofautiana naye kiitikadi...
  19. Dhana ya uhuru na falsafa ya kujitegemea

    DHANA YA UHURU NA UCHUMI WA KUJITEGEMEA KWA AFRIKA Na Elius Ndabila 0768239284 Tunapozungumzia uhuru kama dhana ya kifalsafa mara nyingi huwa tunafikiria uwezo wa mtu binafsi wa kufanya uamuzi, kujijua, kujiendesha kujirekebisha. Lakini pia huwa tunatia maanani mkondo ambao uko nje ya nafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…