familia ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  2. JamiiForums Tanzania Tumesema mara zote, Lema Huwa anaongea na Akina Mafwele , ndio Dalali Kati ya Familia ya Lissu na LISSU.

    Simmemsikia mwenyewe ?. Huyu ndie Huwa napewa habari za uhakika zà nani atakufa ,alafu anakuja kujifanya anatoa utabiri !!!. Simmesikia ,anasema aliongea na Nchimbi.?.
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

    Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV. Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose...
  4. JamiiForums Tanzania Mchange: Sisi tunajua Lissu alifanya makosa, ndio maana familia ya Lissu iko tayari kufanya maridhiano

    "Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo" Habibu Mchange
  5. JamiiForums Tanzania Mke na watoto wa Tundu Lissu hawajawahi kuonekana Mahakamani, je hii inaashiria nini?

    Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake. Je, hii inaashiria nini? -Wako busy na mambo yao? - Wanaogopa kashkash za Polisi -Au wameamua mwana kalifaindi mwana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…