Mnamo mwaka 1912, mvumbuzi na fundi nguo Franz Reichelt alipoteza maisha baada ya kuruka kutoka Mnara wa Eiffel nchini Ufaransa akijaribu kuvumbua vazi la parachuti aliloamini lingeweza kumnusuru mtu anayeanguka kutoka juu. Jaribio hilo lilifanyika mbele ya mashuhuda na kurekodiwa kwa kamera...