Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amekataa hoja ya Katiba Mpya inayosisitizwa na baadhi ya vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, akisema wananchi hawahitaji Katiba Mpya.
Aidha, Faris amekosoa baadhi ya kauli zinazotolewa na CHADEMA katika ziara zake...