Mbunifu huyu aliyejipatia umaarufu kwa ubunifu wa mavazi ya mtaani (streetwear) na kupelekea kuingia mkataba na Makampuni kama Nike na Jordan amefariki dunia muda si mrefu kwa ugonjwa wa kansa akiwa na miaka 41,aliogundulika nao mnamo 2019.
Mbunifu huyu alikuwa mashuhuri katika utamaduni wa...
Nimeona magari mengi ya waheshimiwa wetuyansikitisha sana jamani,hivi wananchi wa TANZANIA mnakubali vipi watu wasiolala kwa ajili yetu,,waliojitolea maisha yao kwa ajili yetu waendeshwe kwenye magari ya hovyohovyo?
Siyo heshima kwa nchi, na suggest itengwe hata trillion 1 ishushe new models za...
Hello ni mimi tena BINADAMU MTAKATIFU natumai mu wazima wa afya,
Leo bwana nataka tusemezane kuhusu zaidi utakatifu na mbinu za adui(Ufalme wa giza)
Kuna watu wengi ambao wamepotoshwa sana leo sitazungumzia dini ila kwa kiasi nwenye akili atatambua lililo sahihi sio kila mtu atakwenda mbinguni...
Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania.
Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion
Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
Siamini kabisa haya majengo marefu yenye kuta za vioo
Unakuta jengo halina hata tofali, najiuliza hivi ule ukuta wa kioo unaweza ukaegamia kwa amani?
Ikitokea tetemeko vipi?
Sababu kubwa za kutumia vioo karika ujenzi wa magorofa makubwa ni jini?
This practice does not conform to the norms and values of the society, particularly the African society.
This practice is now so common in public places like in churches and offices. Indecent dressing is caused by common phrases which are the problems of our generation like; "Only God can judge...
Moja ya tasnia kubwa duniani ni fashion, kazi ambayo inaweza kuwa career ya kijana kama akiwa na interest nayo. Kwa mujibu wa www.indeed.com fashion designer duniani wanaingiza wastani wa $6,000 (takribani milioni 14) kwa mwezi. Ukifanya tathmini kwa mazingira ya Tanzania, tasnia ya fashion ni...
Sikuhizi watu wanaoana kwa Fashion bila kutumia fikra , binadamu sisi ni mbegu , hauwezi ukapanda mbegu ya Tunda chungu utegemee upate Tunda lenye ladha. Fanya tafiti kwanza ya ukoo wa mke au mume unayetaka akuoe au umuoe. Maana kuna dhambi na laana huwa zinatembea vizazi kwa vizazi , kuna...
We are launching fashion.co.tz where female professional fashion writers, bloggers and influencers have the opportunity to earn their passion, you might be the person we are looking for contact: 0686072723
There is a popular saying which goes thus; "dress the way you want to be addressed" as the way one is dressed, speaks about someone. In this era, time and age where decency has become a scarce commodity, while indecency is fast becoming a norms and spreading fast and deadly just like a cancer...
Jipatie Timberland boots original kwa bei ya offer ya Tshs.100,000/= only.Offer hii ni ya mwezi huu tu wa 11.
Wahi kuweka order ujipatie Timbs yako Original kabisa..Unaletewa ulipo kwa Dar na mikoani utatumiwa package yako. Huduma hii ni online ..#ulipo tupo..WHATSAPP/CALL 0652015525
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.