fatuma

  1. ACT Wazalendo

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  2. S

    Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

    fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
  3. ngoshwe

    Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

    Taarifa hii imeandikwa na Wakili wanaodai kutetea Haki za Binadamu akina Jebra Kambole kwa nia ya kujipatia kesi kinyume cha taribu za taaluma ya Mawakili na kusambazwa mitandaoni:. "..Ndugu yeyote wa washtakiwa waliohukumiwa jela leo kifungo cha maisha awasiliane nami inbox au Wakili Jebra...
Back
Top Bottom