Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake...