Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu.
Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+
Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
Kwa sababu hata haijulikani mtu anafanya biashara gani halali na hazionekani Mamlaka zikimdhibiti kwa namna yoyote ile.
So kwa imani yangu, naamini pesa zinazoendesha timu za mpira kama Singida Big Stars, zinazoendesha vituo vya habari kama Wasafi Media na Crown Media ni pesa chafu za akina...
Mwaka 2020, Taasisi ya kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU ilimkamata JOSEPH RWEGASIRA SAMSON aliyekuwa amejificha mkoani simiyu na kumshtaki kwa makoaa ya RUSHWA, UTAKATISHAJO FEDHA HARAMU, UBADHIRIFU NA UKWEPAJI KODI YA SERIKALI.
Kwa sasa ndio mmiliki wa Jayttu Investiment iliyotangwaza leo...
Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, ikichangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa na ajira. Mchango wake uliongezeka hadi asilimia 9 mwaka 2023 kutoka 7.3% mwaka 2021, na kuunda ajira takriban 19,356, wengi wao wakiwa ni Watanzania. Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.