fedha za kigeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini tutumie akiba ya fedha za kigeni kununulia umeme nje na hali tunao humu ndani?

    Huwa nazungumza sana akiba ya pesa za kigeni sababu ni kitu muhimu sana kwa nchi. Nchi inatakiwa kutumia kwa busara sana pesa za kigeni. Hizo ndizo tunaagizia mafuta, madawa, kulipa madeni na mahitaji mengine muhimu. Ukisikia serikali haina pesa ujue hasa inamaanisha haina hizo reserve...
  2. THRDC: Kusitishwa USAID kumepelekea changamoto kwenye NGO's; Watu kupoteza ajira, kusitishwa miradi, wahitaji kuathirika na kupungua fedha za kigeni

    Ripoti mpya ya Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) inaonyesha kuwa kusitishwa kwa ufadhili kwa ghafla kumevuruga shughuli za NGOs za ndani, kusababisha upotevu wa ajira, kufungwa kwa miradi, na matatizo katika utoaji wa huduma. Kwa miongo kadhaa, Marekani imekuwa mfadhili mkuu wa...
  3. Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  4. Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi ikiagiza mafuta kwa mabilioni ya Fedha za Kigeni, Nigeria yaamuru magari yawekwe mfumo wa gesi

    Kila siku nasema. Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi. Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari...
  5. Kanuni Mpya za Benki Kuu ya Tanzania na Athari Zake kwa Soko la Fedha za Kigeni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanzisha kanuni mpya kwa ajili ya shughuli za kubadilisha fedha za kigeni, ikijumuisha uwepo wa masharti makali zaidi kwa ajili ya miamala inayozidi dola za Marekani 5,000. Kanuni hizi mpya zina lengo la kuimarisha uwazi, uwajibikaji, na usalama ndani ya soko la...
  6. Mwigulu: Serikali inaweka mikakati kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex)

    Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex), ikiwemo kuainisha baadhi ya sekta ambazo zinaweza kuleta mapato zaidi ambayo yatatoa suluhisho la kudumu la uhaba wa fedha za...
  7. I

    Wakati wakikabiliwa na hali ngumu ya uchumi, Wairani wageukia dhahabu na fedha za kigeni ili kuhifadhi mali

    Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa dhahabu, fedha za kigeni na kuhamisha mitaji nje ya nchi. Katika mwaka uliopita, Rial ya Iran imepoteza...
  8. S

    Pre GE2025 Mpina alikuwa sahihi kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni

    Kwa kumbukumbu zangu, katika taarifa yake kwa waandishi wa habari, Mhe. Mpina alisema kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni. Jana tarehe 04/08/2024, Mama Samia anaripotiwa kukirii japo hakunyoosha maelezo kuwa tunapoteza fedha za kigeni ambazo tungeweza kuzitumia kwa mambo mengine na...
  9. Xie Xiamao aka Celine, amehukumiwa kulipa faini Tsh. milioni 2 kwa kufanya biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na kibali

    RAIA wa China, Xie Xiamao maarufu Celine, amehukumiwa kulipa faini sh. milioni mbili au kwenda jela miaka mitano , baada ya kutiwa hatiani kwa shtaka la kufanya biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na kibali. Hukumu hiyo imetolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na...
  10. Waziri Mwigulu: Kutoza ndani ya nchi kwa dola ni kosa, watakiwa kuacha kuanzia Julai mosi

    Mwigulu Nchemba akisoma bajeti ya serikali bungeni amesema suala la taasisi binfasi na za umma kutaka malipo ya huduma kwa fedha za kigeni zinaleta shida kwa watanzania kwa kuwa wanatumia Tsh na sio dola. Amesema suala hili linafanya watanzania kuhangaika kuipata dola, wakati inabidi hata...
  11. Wafanyabiashara nimewanyooshea mikono, kituo cha kujazia gesi Airport chafurika na foleni

    Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
  12. Huyu akawe wa maonyesho ughaibuni atuingizie fedha za kigeni

  13. Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
  14. Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  15. Malawi kuzuia biashara ya fedha za kigeni ili kunusuru uchumi

    Malawi itaanza kuzuia biashara ya fedha za kigeni na kufanya msako dhidi ya wafanyabiashara magendo, baada ya kushuka thamani ya sarafu yake, wizara ya fedha imesema Jumatatu. Kwa mujibu wa shirika la habari Reuters, nchi hiyo ya kusini mwa Afrika imeshusha thamani ya sarafu ya Kwacha kwa...
  16. Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  17. K

    Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  18. Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  19. BoT: Hifadhi za Fedha za Kigeni yashuka kwa Asilimia 11, Serikali yawatoa hofu wananchi

    Akiba za kigeni za Tanzania zimepungua kwa dola milioni 600 (sawa na takriban trilioni 1.4 za Kitanzania) katika kipindi cha mwaka uliopita, lakini serikali inasema hakuna sababu ya kuhangaika na mustakabali uko wazi. Kwenye taarifa yake ya hivi karibuni, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) inasema...
  20. Tanzania Inajipanga Kuacha Kutumia Fedha za Kigeni Kuagiza Mafuta Nje ya Nchi

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini. Katika kikao kilichofanyika tarehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…