fedha za kigeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

    Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa. Mapastor fake wamejaa humo ndani. .
  2. Pac the Don

    Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

    Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji? === Nape akiwa Clouds FM amesema "Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
  3. ChoiceVariable

    Baadhi ya Makampuni Kenya yageukia nchi Jirani kuagiza Dola kutokana na uhaba wa fedha hizo

    Habari ya saa hizi wakuu, Hali si shwari huko kwa Ruto, inasemekana uchumi wa Kenya uko katika hali mbaya na wameomba msaada kutoka Tanzania. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, Kenya imekumbwa na upungufu wa dola za Kimarekani kuwezesha kuagiza bidhaa nje, mzigo mkubwa wa madeni ambao unakaribia...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  5. Behaviourist

    Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765. Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
  6. Memento

    Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
Back
Top Bottom