Feisal Salum Abdalla, known as Fei Toto (born 11 January 1998) is a Tanzanian professional footballer who plays as a midfielder for Tanzanian Premier League club
Dar es Salaam Young Africans S.C
Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la
usajili la Januari.
Wekundu hao wa msimbazi wako...
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.
Mind you kama Feisal angemuacha ina...
Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima.
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC
I will be short.
when did Fei toto ever help taifa stars in anything??
Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa.
Morocco anaona nini kwa Fei toto?
Mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni...
Hofu yangu bado ipo mpaka nikoona saa sita imefika
Suala la Feisal kwenda Simba limentesa sanaa ngoja tuone
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
Alhamis hii, Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024
ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga sc na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita.
Wote...
Naheshimu Kipaji chako na Uwezo wako ila bado hujafikia hiyo Thamani na ukisema Milioni 400 naweza Kukuelewa.
Ukitaka kusikiliza zaidi nendeni Crownfmtz mkamsikilize.
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo humo ndani ameweka wachezaji 7 kutoka kikosi Bora Cha yanga wachezaji hao ni
1. Diara
2. Yao
3...
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90.
kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa...
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali hatukai ila ukweli Mpira wowote duniani lazima Uucheze na lazima utwae makombe.
Kama hupati nafasi...
Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa...
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
Tuongee ukweli sote tunajua Feisal ndo kiungo namba moja mzawa Kwa ubora nchi hii, na kiungo wa nje ya nchi Bora wako wengi.
Tupo kijiweni tunajaribu kuangalia nani mkali hasa kati safi ya kiungo kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum.
Nani ana uwezo mkubwa kuliko mwenzake. Hatumuongelei Chama...
Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake.
"Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.