feisal salum

Feisal Salum Abdalla, known as Fei Toto (born 11 January 1998) is a Tanzanian professional footballer who plays as a midfielder for Tanzanian Premier League club
Dar es Salaam Young Africans S.C

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Yanga itaendelea kufaidika na Feisal Salum kwa mujibu wa vipengele vya mkataba

    Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida, Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote...
  2. SAYVILLE

    Tukilimaliza la Feisal Salum tulirudie la SportPesa

    Wakati mgogoro wa Yanga na Feisal Salum ukionekana ukienda kumalizika, tukumbuke pia kulikuwa na mgogoro mwingine wa kimkataba kati ya Yanga na mdhamini wao mkuu SportPesa. Ilionekana kutokana na ratiba ngumu za mashindano, mgogoro wa Yanga na SportPesa uwekwe pembeni kwanza hadi msimu...
  3. SAYVILLE

    Clouds Media acheni uhuni, mahojiano yenu na Feisal Salum siyo professional!

    Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu. Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
  4. TUKANA UONE

    Feisal Salum anatafuta pesa za penati baada ya kushindwa

    Iko hivi, Feisal Salum na Wakili wake wakiwemo wanaomdanganya wanafahamu kabisa huko CAS hawezi kushinda kwasababu mara nyingi CAS wao hupitia sana sana hukumu iliyotolewa na shirikisho la mpira Tanzania, hivyo siyo kwamba hela ya kuendeshea kesi milioni 60 hawana,hizo zipo. Kinachofanyika hao...
Back
Top Bottom