Habari za muda huu wapendwa
Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?
Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu
Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
Kwenye haya mambo ya termination of contracts Yanga walikuwa smart sana ila makolo mlikaza vichwa.
Turudi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yanga sc waliwatadhalisha kwenye sakata la FEI TOTO kuwa kama mchezaji ataondoka klabuni kwa mfumo wa FEI TOTO basi wachezaji wengi wataondoka kwa...
Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo.
Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa
Baada ya mo Wafate akima Azam media na wengine
Ila anavyoishiwa nguvu ya pesa kuifanya timu kubwa Akubali ukweli. ahusishe...
Naheshimu Kipaji chako na Uwezo wako ila bado hujafikia hiyo Thamani na ukisema Milioni 400 naweza Kukuelewa.
Ukitaka kusikiliza zaidi nendeni Crownfmtz mkamsikilize.
Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo humo ndani ameweka wachezaji 7 kutoka kikosi Bora Cha yanga wachezaji hao ni
1. Diara
2. Yao
3...
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.
Jana amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila...
Habari za wakati huu.
Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025.
Young Africans aliibuka mshindi dhidi ya Azam Fc wa kombe la CRDB Bank Federation Cup 2023/2024 kwa mikwaju ya penalty.
Sasa turudi kwa...
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali hatukai ila ukweli Mpira wowote duniani lazima Uucheze na lazima utwae makombe.
Kama hupati nafasi...
Mpira ni anasa kweli kweliii.
Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki.
Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea.
Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini.
Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo.
Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji Wawili Feisal Salum 'Feitoto' na Mudathir Yahya yuko Mmoja ambaye Nyota yake ndiyo kwa 99% inaibeba...
Siku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi.
Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi.
Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada ya tukio la wao kuchelewa kuingia uwanjani.
Adhabu ipo ?
Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto.
Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa...
Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.
Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu.
Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto'...
Jana kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemuacha tena kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' na Jonas Mkude kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan.
Hii inakuwa mara ya pili mfululizo kwa Feitoto kuachwa na Amrouche akitangulia kukosa mechi dhidi ya Niger na Algeria, wakati Taifa Stars...
Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting.
Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli!
Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.