feitoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. albab

    Feisal Salum (Feitoto) alikua na hoja

    kama tuliambiwa Nabi atakuepo mpaka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1. Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo mana dogo akaamua kukiamsha. Kuondoka Kwa wachezaji (Sina uhakika) na bench la ufundi kuna kitu...
  2. sky soldier

    Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

    Harmonize aliondoka kwa Milioni 500 Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500 Zuchu bilioni 5. Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ? Is it fair?
  3. benzemah

    Feitoto akibusu picha ya Rais Samia

    Mchezaji wa klabu ya Azam Fc, Feisal Salum "FeiToto" ameonekana akiibusu picha rasmi ya Rais Samia Suluhu Hassan tendo ambalo wengi wamelitafsiri kama shukrani kwa Rais Samia. Ipi tafsiri yako kwa tendo hili.
  4. C

    Rais Samia na Feitoto imejengwa precedence gani?

    Kwa heshima kubwa nakusalimu mama yetu Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania, nakupa pongezi kwa mambo makubwa unayoyafanya kwa maslahi ya taifa hili. Mama mpira wa miguu sehemu nyingi duniani umefanikiwa kuleta maridhiano, upendo na umoja hata kama kulikuwa na vita mfano Liberia...
  5. Mr Q

    Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa hatuyajadili tena. Sasa ni Feitoto, Yanga na Medali

    Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza. Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA. Kila mtu sasa ni; Yanga Medali za wachezaji Fainali Tukio la kuitwa Ikulu Mabishano yasiyo na tija...
  6. Dr Matola PhD

    Wanafki wote Duniani huumbuliwa kama Feitoto, hii ipo mpaka Marekani. Yanga ikibeba kombe kuna watu watakufa

    Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip. Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi. Sasa...
  7. John Gregory

    Njia pekee Feitoto kuondoka Yanga bila makubaliano/kuuzwa ni kustaafu soka

    Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
  8. N

    Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

    Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga. "Shauri...
  9. GENTAMYCINE

    Shafih Dauda: Wanaovujisha sauti ya Interview ya Feitoto CMG na kutulaumu hawana Akili

    "Ukienda kufanya Interview yoyote ile katika Redio tena katika Kipindi ambacho ni cha muda mchache (kama cha Saa Moja) huwa kunakuwa na Briefing juu ya kile ambacho Mgeni anaenda Kukisema Hewani. Hiyo Sauti inayotumika na kudaiwa imevuja haikuwa ni Mazungumzo Official baina ya Mchezaji na...
  10. William Mshumbusi

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  11. N

    Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea. Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua? Hivi huyu hana management? Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
  12. S

    Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

    Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
  13. K

    Feitoto akwama tena TFF, arudishwa Yanga

    Hili sakata la Feitoto nadhani sasa lifike mwisho maana linazunguka hapo hapo kila siku na Fei anajifanya kichwa ngumu.
  14. AbuuMaryam

    Hivi ni kweli Feisal Salum Feitoto hatumsikii na hatumuoni tena?

    Nafikiria kwa ile form aliyokuwa anaionesha kipindi mpaka anaacha kucheza Yanga, hivi sasa kwenye Robo Fainali za CAF CC si angekuwa ni katika wanaotajwa vizuri kuliko akina Mwamnyeto na Bacca? Feisal angekuwa sasa hivi ni lulu Africa, naamini miamba ya nchi za Kaskazini na zingine za Kiarabu...
  15. D

    ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
  16. William Mshumbusi

    Yanga wanapambana kumtumia Feitoto kulipa hasara walivyotumia kumnunua Aziz Ki

    Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa 1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz ki Ni moja kwanini Aziz ki alipwe m10+ uku fei akipewa robo ya mshahara wake Je watafanikiwaa
  17. William Mshumbusi

    Nilisema humu kabla feitoto hakuitwa stars ili acheze Bali kukutanishwa na Yanga. Fact 10 hizi hapa

    Kwa uzito. 1. Tayari kocha mkuu wa stars na Msaidizi Moroko wamekiri kumshauri arudi Yanga ili acheze stars. 2. Alipofika tu airport akapigwa picha akiwa na wachezaji wa Yanga. 3. Tff iliwaacha Kapombe na mohamedi huseni. Ili feitoto aone kuwa mchezaji mkubwa Basi ucheze Yanga. 4. Kwa uhalisia...
  18. William Mshumbusi

    TFF hawajamuita Feitoto ili acheze timu ya Taifa Bali kumrudisha tu dar Akutanishwe na Yanga

    Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe. Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia wanampango kumwita Kocha wa Yanga Nabi akae kwenye benchi la ufundi ili wapate wasaa wa kumshawishi...
  19. D

    Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  20. Zanzibar-ASP

    Yanga kwa sasa inafaidika nini na kumng'ang'ania Feitoto?

    Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Back
Top Bottom