feitoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yanga imuuze Feitoto

    1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga 2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe 3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani 4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni...
  2. Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  3. Feitoto ni mtoro, kwanini TFF haikumuadhibu kwa kosa la utoro?

    Kwenye sakata la Fei toto TFF imedhibitisha kuwa FEI ni mchezaji halali wa Yanga. Pamoja na maamuzi hayo ya TFF lakini Fei hajaonekana kazini kwa mwajili wake. Hii ina maana kuwa Fei ameikosea Yanga, TFF na wadau wa mpira. Maswali ni mengi sana kuhusu huyu mchezaji, lakini maswali muhimu kuliko...
  4. TFF hawana uwezo wa kufafanua kisheria vipengele alivyokosea Feitoto kimkataba. Watarudia maneno matano tu. Feitoto ni mchezaji wa Yanga kimkataba

    Hilo ninauhakika. Hawana jeuri ya kusema kuwa feitoto alitakiwa afanye Nini kisheria. Nasisitiza hakuna hoja za kisheria zinazombana
  5. Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

    Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
  6. Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Mbwana Samatta amekulia katika viunga vya Mbagala huko ndiko kuliko mtambulishan katika uga wa kandanda. Historia ya huyu mchezaji haikuwa rahisi kutoboa hadi kufikia hapo alipofikia. Kuna kipindi alikuwa anakosa hata sh. 200 ya nauli ya kumpeleka mazoezi. Waliokuwa karibu yake walimsaidia pesa...
  7. Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

    1. Kulipa ela kabla ya kupeleka barua 2. Kutofanya mazungumzo na club. 3. Kuvunja ndoa gafla haikubaliki. Yani uamke asubuhi uondoke nyumbani.(kwenye hivyo vipengere vyote sijaona hoja ya kisheria au labda Wana kumbukumbu za maamuzi ya FIFA kwa kesi Kama hizo walizotumia) 4. Kuna vipengere...
  8. Jinsi TFF ilivyoamua kumuonea hadharani Feitoto na kuwatumikia Yanga Ni dhahiri zile ni hisia za bahasha kwenye ligi yetu

    1. Walianza na barua ya kingereza iliyomtoa uarabuni kwenye program zake wakitaka aje bila kubainisha makosa aliyoshitakiwa nayo ili awe tayari kuandaa utetezi wake. Barua ilikuwa fupi sana. Na kikubwa swala Hilo Feitoto angeweza kulijibu kwa maandishi tu bila kuwepo Sababu Ni la kimkataba. Lkn...
  9. TFF hawataweka hadharani leo msingi na vipengere walivyotumia hukumu swala la Feitoto?

    Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala. Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
  10. M

    Viongozi wa Yanga Feitoto ameshageuka adui yenu, achacheni naye

    Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo. Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu...
  11. H

    TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
  12. Kinachoniuma kwa Feitoto ni sawa na mpenzi wako akubwage aende kwa mtu anayekuzidi kila kitu

    Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile. Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili...
  13. N

    Sakata la Feitoto linaenda kuwa sawa na la Morisson Yanga

    Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na wachezaji wetu. Fei juzi kachezea team ya visiwani hata kama friend match ila kavaa uzi mwekundu na...
  14. Sakata la feitoto liishe tupumue

    Nawasalimu kwa Jina la Sports, niende moja kwa moja kwenye Mada. Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye No Football Tanzania hii. My Take: Vita aliyoipigania yanga ni kubwa Sana ni sahihi yeye kutafuta...
  15. Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

    GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya. Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
  16. Huenda leo ndiyo ukawa mwisho wa Mjadala wa Feitoto kwani anarejea rasmi Yanga SC

    Mama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na hatimaye Nguvu ya Mama kwa Mtoto imefanya Kazi. Kuanzia leo Feitoto ataomba Radhi kwa Uongozi wa Yanga...
  17. Anayejua masharti yote ya Mkataba wa Feitoto na Yanga kufatwa ni Feitoto mwenyewe na Engineer tu. Tusiwasemee ukweli utajulikana

    Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe. Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
  18. Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

    Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote. Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea. Nitakumbuka...
  19. Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
  20. C

    Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

    Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu. Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu. Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto, timu yenu ni Kama Ihefu tu Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…