feki

Sosaia Feki (born 9 May 1991), also known by the nickname of "The Factor" is a Tonga international rugby league footballer who plays on the wing for the Castleford Tigers in the Super League.
He played for the Cronulla-Sutherland Sharks in the NRL, and was part of the Cronulla team that won their maiden premiership title in the 2016 season.

View More On Wikipedia.org
  1. Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  2. Hivi hii miujiza ya manabii/mashehe feki wanaitoa wapi?

    Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu. So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza? wananaenda kupokea uwezo kutoka mahala maalum? Ni waganga wa jadi ultra prom max? Karibuni.
  3. R

    Niliuziwa pasi feki ya phillips kwa shilingi elfu 45, epuka haya kuuziwa mbuzi kwenye gunia

    Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
  4. M

    Polisi Wamkamata Luteni Feki Wa Jeshi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni. Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
  5. Simba, Yanga na TFF walamba fidia ya jezi feki. Azam walitoa oda jezi zao feki zichomwe moto

    Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini. Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
  6. Wananchi kisesa wacharuka baada ya mkandarasi feki kudakwa na mpina, wamtwanga za uso

  7. W

    Nitajuaje NVIDIA graphics card ni feki au original

    Ugeni wa mambo bila maarifa umeliza wengi naombeni mnisaidie kupunguza hasara, Nawezaje kukagua graphivs card ya NVIDIA ni feki au original
  8. Hasira na makwazo huondoa vilemba vya wema na busara feki tunazojivika

    Unapomhitaji mtu awezeshe jambo lako, mtu unayemwona ni raslimali ya ufumbuzi wa tatizo lako, unaweza kulazimika kuwa na sura ya uungwana bandia. Mshunuzi Carl Jung aliuita uungwana huu persona—tabia tunazojitambulisha nazo mbele ya watu tunaowahitaji kama nyenzo ya mahusiano—mfano tabasamu...
  9. Mkumbusheni Rais Samia, Mungu atamkasirikia na kumpa Kisogo endapo ataendelea Kugawa mamilioni Kwa Hawa Manabii Feki!!

    Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu. Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake. Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa. Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika...
  10. TCRA wafungie ama wasifungie Simu Feki? Kariakoo na Makumbusho imejaa Simu za "kimarekani" na "Korea" feki!

    Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi! Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka mikoani na kuamini ni original. Simu yeyote ukikuta ina ki-dude kama maskini tape na haipo kwenye...
  11. D

    Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  12. DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  13. G

    Wazazi wana uwezo mkubwa kutambua rafiki feki, Rafiki yako ni rahisi kugundua mpenzi asiekufaa, Watoto wana kipawa cha kumjua ndugu mnafki

    Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu, Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki zako wana jicho makini kuweza kujua mpenzi...
  14. R

    LGE2024 Kura feki zinapochanganywa na kura halali nini hutokea?

    Salaam, Shalom!! Nijuavyo, 1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara ,biasharaitakufa. 2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa halali iwe mtaji, biashara italaaniwa na kufa. 3. Ukimwibia boss wako, unachukua pesa hiyo na...
  15. G

    Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  16. M

    Chaguzi feki zitaiua hata CCM yenyewe

    Kuna wana CCM wanafurahia uhuni wanaofanyiwa wapinzani kwenye chaguzi. Kwao inawapa sense ya ufahari ya kujiona wana power fulani hivi inayowawezesha kuiruhusu haki kwa kupenda au kuiminya haki kwa kupenda. Hata hivyo huu ni mtazamo finyu. Ikifikia hatua ile core ya CCM ikaamini kuwa haihitaji...
  17. 4

    Leo niungane na Tulia( spika wa bunge feki tz )

    Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake . Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii . OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa...
  18. Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  19. Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

    Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo. Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu. Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika...
  20. D

    Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

    Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online. Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…