Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Septemba 28, 2023 hadi Oktoba 02, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 22 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, unyang’anyi, uvunjaji, kupatikana na nyara za serikali, kupatikana na bunduki bila kibali, kupatikana na dawa za kulevya na...