feza schools

  1. aka2030

    Product za Feza Schools huwa zinapotelea wapi?

    Naomba kujua Hii shule zaidi ya miaka 15 kila mwaka kitaifa matokeo ya form 4 na form 6 lazima iwepo. Ila product zake sijawahi kutana nazo sio serikalini hata private sector. Huwa zinaenda wapi?
Back
Top Bottom