fidia

  1. S

    Makonda fuatilia dhuluma mradi wa fidia Jangwani watu wanalipwa 170,000 badala ya milioni 4 aliyosema Waziri

    Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia...
  2. N

    Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  3. Mkazi: Siondoki Bonde la Msimbazi bila fidia ya angalau bilioni moja

    Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokumbwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda. Kijana mmoja...
  4. D

    Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, ufanye nini cha kuzingatia?

    Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuhakikisha kuwa unapata haki yako stahiki. Hapa kuna miongozo kadhaa: Thibitisha Malipo:Hakikisha kuwa unapokea malipo yote kama ilivyokubaliwa kwenye makubaliano ya fidia. Angalia kwa makini kiasi cha...
  5. Waliotorosha madini ya Bilioni 300 wahukumiwa kulipa fidia ya milioni 923.8

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewaamuru wafanyabiashara wanane waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kuilipa Serikali fidia ya Sh923.8 milioni huku ikiamuru kutaifishwa pia kwa mali zao na Sh103.9 milioni. Hii ni baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kuongoza...
  6. Tembo Nickel yapewa siku 30 kulipa fidia kwa wananchi wanaoguswa na mradi

    Tarehe 14/11/2023 maelekezo hayo yametolewa kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuanza zoezi la ulipaji fidia Waguswa wa mradi huo ambapo wananchi wa vijiji vitano vya Kata ya Bugarama na Muganza wataanza kulipwa fidia zao hivi karibuni. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  7. Inaitwa "Colonal Crime", Msamaha hautoshi, Ujerumani ilipe fidia

    Hakutembelea Makumbusho ya Vita ya Majamaji bali alitembelea makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni. Hivi ndivyo inavyoitwa duniani, ni uhalifu wa Kikoloni "Colonial Crimes'. Na hivihivi tumwambie mgeni wetu Rais wa Shirikisho la Ujerumani kuwa hayo ni Makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni. KUHUSU...
  8. Baba mlezi ananidai fidia kwa kunisomesha

    Habirini wana jamvi, Nimeona nilete kisa hiki jamvini mimi ni kijana nimelelewa na baba MLEZI na kanisomesha Hadi form six, na alitaka niishie hapo nisiendelee mbele. Mimi nililazimisha kwenda chuo kwasababu malengo yangu hayakuwa niishie form six maana matokeo yangu yaliruhusu kwenda kujiunga...
  9. Ujerumani ilipe fidia kwa uhalifu na fedheha, kuomba radhi haitoshi

    Rais Steinmeier ambaye yuko ziarani nchini Tanzania, amezungumzia kusikitishwa kwake na kile alichokiita fedheha ya uhalifu uliofanywa na Ujerumani wakati ilipokuwa ikiitawala Tanzania, enzi za Ukoloni. Vita vya Majimaji, vilivyotokea kati ya mwaka 1905 na 1907, ilikuwa harakati za upinzani...
  10. Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

    Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini...
  11. Nigeria yashinda rufaa na kuepuka kulipa fidia ya USD 11 billioni katika Kesi ya usuluhishi ya Mkataba wa gesi

    Mgogoro huo ulihusisha Makubaliano ya mwaka 2010 baina ya Nigeria na Kampuni ya Process and Industrial Developments Limited (P&ID) kuendesha Kiwanda nchini humo ambacho kingebadilisha gesi asilia inayochomwa wakati wa uzalishaji wa Mafuta kuwa Umeme Kampuni hiyo ilipewa Kandarasi ya miaka 20...
  12. Kampuni ya PAF Promotion yampeleka Mahakamani Mwakinyo, yamdai fidia ya mamilioni

    Kesi dhidi ya bondia wa ngumi za kulipwa Nchini, Hassan Mwakinyo ambayo imefunguliwa na Kampuni ya PAF Promotion inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, A.H. Msumi ikiwa na jumla ya madai 8 ya msingi. Kampuni hiyo imewasilisha...
  13. Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama. Chanzo cha mgogoro huo ni uamuzi wa Serikali wa mwaka 2017 kuifutia kampuni hiyo leseni ya uendeshaji...
  14. S

    Ingekuwa ni jambo la kimataifa, serikali ingeshindwa mahakamani na pengine kutakiwa kuwalipa fidia Wanufaika wa Bodi ya Mikopo

    Awamu ya tano chini ya Rais wa wakati huo, Marehemu Magufulli, ilikuwa kinara wa kukiuka sheria na kuvunja mikataba na matokeo yake leo hii serikali inashitakiwa huko katika mahakama za kimataifa na nchi kushindwa kesi na kulazimika kulipa mabilioni ya shilingi kama fidia. Walichokifanya katika...
  15. Tabia ya TANESCO kukata umeme imekuwa kero

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Tanga limemlipa Mkazi wa Mwamboni, Tanga, Mwamvua Maliki fidia ya Tsh. 778,000 baada ya kuunguliwa vitu vyake vya ndani August 31,2022 kutokana na hitilafu ya umeme iliyosababishwa na waya wa umeme kukatika na kudondokea nyumba yake. Baada ya Zimamoto...
  16. Serikali dhalimu ni dhalimu! Harakaharaka unalipa 75 billion fidia kwa kesi ya kimagumashi?

    Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion). Hawa watanzania mafisadi wanasema...
  17. Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  18. Mahakama yaamuru Dar es Salaam Cement Co. Limited kulipa Fidia ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza kazi Mkurugenzi wake

    Mahakama Kuu imewaamuru ndugu wawili na wakurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Dar es Salaam Cement Co. Limited kumlipa mwenyekiti wao na Mkurugenzi Mtendaji, Pardeep Hans, zaidi ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza katika kampuni hiyo kinyume cha sheria na kuiuza kwa Kampuni ya Amsons Industries (T)...
  19. Serikali yatumia Sh27.83 bilioni kulipa fidia ajali, magonjwa kazini

    Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2023 huku taarifa ya baadhi ya mifuko ya...
  20. Wanaotakiwa kupisha uendelezwaji wa Mto Msimbazi waomba Rais Samia kuingilia kati suala la malipo

    Baadhi ya wakazi wa Jangwani, jijini Dar es Salaam wameandamana wakiwa na mabango tarehe 3 Septemba, 2023 wakishinikiza kulipwa fidia inayostahili badala ya ile waliyothaminishwa kwa kulazimishwa huku wakiwa chini ya usimamizi wa askari wenye bunduki. ============= ================= Baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…