fidia

  1. BARD AI

    Wavamizi Bonde la Songwe na Ihefu kuondolewa, watakaofuatwa kulipwa fidia

    Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amesema wanachukua hatua hiyo ili kulinda Mazingira na Kunusuru vyanzo vya Maji. Amesema wale ambao watafuatwa kwenye maeneo yao, Serikali itawafidia lakini hawatakuwa tayari kuona ukame ukiendelea katika Mabonde hayo...
  2. BARD AI

    Waathirika ajali ya Precision Air waanza kulipwa fidia kwa siri

    Ikiwa zimepita siku saba tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air na kusababisha vifo vya watu 19, shirika hilo limeanza mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Novemba 14, 2022, Mkurugenzi wa...
  3. Lycaon pictus

    Treni za abiria hazina bima? Wahanga wa ajali ya Dodoma wanaweza idai serikali fidia?

    Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
  4. Dr Rutagwerera Sr

    Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  5. B

    Ikungi Walipwa Fidia na Jeshi Milioni 243.7

    IKUNGI WALIPWA FIDIA NA JESHI MILIONI 243.7 Serikali kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imetoa fidia ya fedha kiasi cha shilingi milioni 243.7 kwa ajili ya wananchi 160 wa vijiji vya choda na mkiwa wilaya ya Ikungi Akizungumza wakati wa kikao cha utoaji wa taarifa za mapokezi...
  6. MakinikiA

    African kulipwa fidia ya utumwa je Tanzania tumejiandaa vipi?

    EU country to apologize for slavery – media The Netherlands is expected to set up a multimillion ‘awareness fund’ as part of its history recognition campaign. The Dutch government plans to issue a formal apology next month for its history as a slaving nation, the RTL news website reported on...
  7. BARD AI

    Waliofungwa kimakosa kwa mauaji ya Malcom X kulipwa Tsh. Bilioni 83.9

    Machi 1966, Muhammad Aziz, Khalil Islam na Mujahid Abdul Halim walihukumiwa kifungo kwa mauaji hayo na kisha Halim alikiri kumuua Malcom X, ingawa alikuja kuachiwa huru mwaka 2010. Novemba 2021, Mamlaka za Jiji la New York zilithibitisha kuwa Aziz na Islam waliokaa jela miaka 20 hawakuhusika na...
  8. Shujaa Mwendazake

    Poland inaorodhesha mahitaji ya fidia ya WWII kutoka Ujerumani

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili. Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
  9. Sildenafil Citrate

    Mbatia amtaka Selasini kulipa fidia ya Tsh bilioni 3

    Mgororo wa uongozi ndani ya Chama cha NCCR- Mageuzi sasa unazidi kufukuta na sasa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia, kumtaka Kaimu mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini, amlipe fidia ya Sh3 bilioni kwa kile anachodai kuwa ni kumkashfu. Mbatia amefungua kesi hiyo dhidi ya...
  10. J

    Hatimaye familia ya Mama Amina Mohamed Mughenyi yapokea hundi ya fidia shanta

    HATIMAE FAMILIA YA MAMA AMINA MOHAMED MUGHENYI YAPOKEA HUNDI YA FIDIA SHANTA Familia ya Mama amina mohamed mghenyi wa kitongoji cha taru kijiji cha Mang'onyi kata Mang'onyi jimbo la singida mashariki wamefikia muafa na ofisi ya Mkuu wa wilaya kwa kuridhia kupokea hundi ya fedha ikiwa ni fidia...
  11. Lady Whistledown

    Mali yadai fidia ili kuwaachia huru wanajeshi wa Ivory Coast

    Rais wa mpito, Assimi Goita amesema anatazamia suluhu ya kidiplomasia itakayonufaisha pande zote mbili ili kuwaachia huru wanajeshi hao huku akiweka wazi kuwa Ivory Coast imewapa hifadhi wanasiasa wanaotafutwa na utawala wake. Mnamo Julai 10, wanajeshi 49 Ivory Coast walizuiliwa katika uwanja...
  12. JanguKamaJangu

    Uganda imeanza kuilipa DRC fidia kutokana na uvamizi wa miaka 20 iliyopita

    Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemkorasia ya Kongo anasema Uganda imeanza kuilipa Kinshasa fidia ya dola milioni 65 kati ya 325 kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Sheria ya Kimataifa ICJ. Kulingana na maafisa wa serikali mjini Kinshasa waliozungumza Jumamosi, ni kwamba waziri wa sheria Rose...
  13. BARD AI

    Rwanda: Serikali kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 2.3 kwa kuuza shopping mall ya mfanyabiashara Tribert Rujugiro

    Mahakama ya Afrika Mashariki imeamuru mfanyabiashara Tribert Rujugiro anayeishi uhamishoni, kulipwa fedha hizo baada ya kubaini kuwa serikali ya Rwanda ilikiuka Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kujipa mamlaka na kuuza jumba lake la maduka "Shopping Mall". Uamuzi huo unajumuisha riba...
  14. BARD AI

    Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

    Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
  15. Statics

    Madai ya kulipwa fidia kwa usumbufu wanaonifanyia benki ya DTB

    Wakuu , Wiki iliyopita Ijumaa kwenye moja ya ATM ya DTB hapa mjini nilienda kutoa pesa laki moja... Kilichotokea pesa haikutoka na kwenye account yangu wamekata pesa.. nikawafata customer care mda huohuo wakaniambia mtandao unasumbua pesa yako utarudishiwa baadae... hawakurudisha Kesho yake...
  16. Stroke

    Li Jinglan Mkalimani wa Nyerere aliyefariki akisubiria malipo ya fidia dhidi ya NHC kwa miaka 19

    Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1. Bilioni alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC. Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na Nyingine mbili, Mkalimani huyo wa Mwalimu Nyerere hakuwahi pata malipo yake. Pole Bi. Li Jinglan.
  17. BARD AI

    Uingereza: Walioambukizwa VVU kimakosa kulipwa fidia ya Tsh. Milioni 281

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwalipa fidia ya Tsh. 281,800,046 watu zaidi ya 4000 walioambukizwa Virusi Vya UKIMWI kwa uzembe wakati wakiongezewa Damu. Watu hao waliambukizwa VVU na Homa ya Ini kupitia bidhaa chafu za Damu zilizoingizwa kutoka Marekani ambapo takriban watu 2,400 wanadaiwa...
  18. B

    Makambako: Mbunge alia fidia za wananchi mbele ya Rais Samia, Waziri amjibu

    Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga amemuomba Rais Samia Suluhu amuagize Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa. Mbunge huyo ametoa malalamiko hayo leo hii katika ziara ya Rais jimbo la Makambako. Kwa mujibu wa mbunge huyo, kuna maeneo...
  19. feyzal

    Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

    Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Wizara ya Kilimo, Frorence Samwel anadai fidia ya Sh500 milioni Hospitali za TMJ na Hindu Mandal za jijini Dar es Salaam na daktari Moirice Mavura kwa kile anachodai kuwa ni uzembe katika kumtibu. Pia amedai alipwe Sh53 milioni kwa ajili ya gharama mbalimbali...
  20. Lady Whistledown

    Wananchi wa Mwanza walalamikia kuondolewa kwenye maeneo bila kulipwa fidia na kuuzwa kwa Vigogo wa Serikali

    Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Allan Kijazi, kuunda tume huru ambayo itafanya uchunguzi wa kina...
Back
Top Bottom