DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha.
Mwaka...
Msanii Baba levo anefunguka leo akiwa kwenye press conference yakutangazwa kuwa balozi mpya wa Soka bet amesema baada ya kushinda hii kesi aliyoshitakiwa na Harmonize atamfungulia mashitaka harmonize ya kuchafua brand yake.
Akafunguka zaidi kuwa Harmonize amekurupuka kumshitaki bila kutumia...
Poleni na majukumu ya kila siku wana JF!
Iko hivi kuna Mwanaume mmoja alikuwa na ndoa yake ya Kikristo, ikatokea Mama Mkwe akawa anaumwa Kijijini ikabidi Mke wake akamuugeze Mama yake huko Kijijini.
Baada ya Mke kuondoka kwenda kijijini Mwanaume alianzisha mahusiano mengine na Mwanamke...
Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Jumatatu Aprili 12 2021 Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka...
Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
Habari za jioni.
Kwa wanaohusika na malipo ya fidia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato -Dodoma mtatulipa lini fidia hiyo miaka inakwenda ardhi na vilivyomo havituzalishii toka mlipohakiki mara ya kwanza mwaka 2018 ni miaka mitatu,
Sasa je, mtaongeza kiwango cha fidia au ndo mtatulipa...
Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha.
Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli aliyoitoa Rais Bolsonaro dhidi ya Patricia Campos Mello ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la...
Wakuu kwema?
Nina shida hapa imenitokea, mnamo tarehe 23 nilituma pesa kama Tshs 500k kwenda namba ya voda tokea halotel, ila nikajagundua nimekosea namba,
Nikawapigia halopesa, wakaniambia nisubiri masaa 72 pesa itarudi,
Nikawa mpole nikasubiri, masaa yamefika 100,pesa haijarudi...
Dar es Salaam.
Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imemhukumu kifungo cha nje cha miezi minne mkazi wa Tabata Segerea, Baraka Athuman (33) baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mke wake Kuluthum Khamis kwa kutumia mwiko wa ugali kutokana na wivu wa mapenzi.
Pia, mahakama hiyo imemwamuru mshtakiwa...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Innocent Lugha Bashungwa ameeleza kuhusu kufungiwa kwa Vyombo vya Habari na Wasanii na kuzungumzia kuhusu Wasafi Tv.
Akiongea katika kipindi cha Clouds Fm Waziri ameeleza haya.
“Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea...
Mheshimiwa Rais tumehangaika mapaka tumeona tukuandikie kupitia jukwaa hili utusaidie sisi wanyonge wa kijiji cha Igingilanyi ambao tumetakiwa kuhama ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli uliopo katika manispaa ya Iringa.
Baada ya kuelimishwa wananchi hatukuwa na pingamizi la mradi...
Naona Mabeberu yameingia kazini tena.
Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
Nawasalimu Wana-JF wote; heri ya mwaka mpya 2021.
Mnamo tarehe 07/12/2020 niliandika malalamiko yangu hapa JF kuhusu mzigo wangu kupotelea Posta tangu tarehe 13/3/2020; ambapo hatua za kufuatilia mzigo huo hazikuzaa matunda, mpaka nikafikia hatua ya kuandika malalamiko hayo JF kwenye link hiyo...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
Wakuu habari zenu,
Niwapongezeni kwa kuchagua Tanzania kuwa kijani kibichi, hakika sasa tutegemee maendeleo ya kasi ya 5G maana wale waliokuwa wanapinga maendeleo sasa hawapo tena! bila shaka sasa hakuna tena visingizio! mishahara kwa watumishi itapanda! madaraja watapanda pengine kuanzia mwezi...
Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2) akisema kuwa alihisi kunyanyaswa na woga baada ya kukamatwa.
Katika...
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini...
Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista,
Ni...
Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.