Wakuu kwema?
Nina shida hapa imenitokea, mnamo tarehe 23 nilituma pesa kama Tshs 500k kwenda namba ya voda tokea halotel, ila nikajagundua nimekosea namba,
Nikawapigia halopesa, wakaniambia nisubiri masaa 72 pesa itarudi,
Nikawa mpole nikasubiri, masaa yamefika 100,pesa haijarudi...