Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿, Taifa Stars, inarejea dimbani leo katika mwendelezo wa FIFA Series 2026 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein 🇱🇮.
Leo wanakutana na Macau 🇲🇴 katika mchezo utakaochezwa kwenye Dimba la Pele, mjini Kigali, Rwanda, kuanzia saa 10:00 jioni.
Macau 🇲🇴 ni...