FT | Macau 0- 6 Tanzania | Kigali Pelé Stadium | 29.03.2026 | Stars Mshindi wa Tatu FIFA Series 2026

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿, Taifa Stars, inarejea dimbani leo katika mwendelezo wa FIFA Series 2026 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein 🇱🇮.

Leo wanakutana na Macau 🇲🇴 katika mchezo utakaochezwa kwenye Dimba la Pele, mjini Kigali, Rwanda, kuanzia saa 10:00 jioni.

Macau 🇲🇴 ni eneo maalum la utawala chini ya China (Special Administrative Region), sawa na Hong Kong. Ingawa si nchi kamili, ina timu yake ya taifa ya mpira wa miguu inayotambulika na FIFA.

IMG_0514.jpeg

IMG_0515.jpeg

⚽️ Amancio 16' (OG)
⚽️ Mwamnyeto 26'
⚽️ Yahya 45'
⚽️ Kasunda 56'
⚽️ Miroshi 74'

Goal! Macau 0, Tanzania 6. Tarryn Allarakhia kwa kuu lake la Kulia anafunga Goli

⚽️ Tarryn Allarakhia 87'
 
Ni wangapi kwenye kundi lao ? au kama kawa safari ndio imeisha hapo?
 
Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿, Taifa Stars, inarejea dimbani leo katika mwendelezo wa FIFA Series 2026 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein 🇱🇮.

Leo wanakutana na Macau 🇲🇴 katika mchezo utakaochezwa kwenye Dimba la Pele, mjini Kigali, Rwanda, kuanzia saa 10:00 jioni.

Macau 🇲🇴 ni eneo maalum la utawala chini ya China (Special Administrative Region), sawa na Hong Kong. Ingawa si nchi kamili, ina timu yake ya taifa ya mpira wa miguu inayotambulika na FIFA.

View attachment 3564035

View attachment 3564126

⚽️ Amancio 16' (OG)
⚽️ Mwamnyeto 26'
⚽️ Yahya 45'
⚽️ Kasunda 56'
⚽️ Miroshi 74'

Goal! Macau 0, Tanzania 6. Tarryn Allarakhia kwa kuu lake la Kulia anafunga Goli

⚽️ Tarryn Allarakhia 87'

29 March 2026

View: https://m.youtube.com/watch?v=fR9TGrKzAGU
 
Tukubali tu hapa bomu limepigwa mochwari! Huko Macau watu wanakula tu bata na kucheza kamari masaa 24/7!! Wao na mpira, wapi na wapi bhana!
 
The gambling industry of Macau is around seven times larger than that of Las Vegas, Nevada
 
Tukubali tu hapa bomu limepigwa mochwari! Huko Macau watu wanakula tu bata na kucheza kamari masaa 24/7!! Wao na mpira, wapi na wapi bhana!
Tulivyofungwa na Liechtenstein yenye population ya 45,000 mlisema
Tumewafungwa Wachina wala bata napo maneno
 
Back
Top Bottom